Site Logo
Microdata Portal
  • Datasets
  • Home
  • Catalog
  • Citations
  • RELI SKY
  • Collections
  • About
  • FAQs
  • Contact us
  • Login
    Login
APHRC Logo
    Home / Central Data Catalog / PWC02 / variable [F3]
central

Engisoma

Tanzania, 2022
Get Microdata
Reference ID
PWC02
Producer(s)
Pastoral Women Council
Metadata
DDI/XML JSON
Study website
Created on
Feb 20, 2024
Last modified
Feb 20, 2024
Page views
27329
Downloads
260
  • Study Description
  • Data Description
  • Downloads
  • Data files
  • Engisoma_2_baseline
  • Engisoma_community
  • Engisoma_Evaluation_STUDENT

Je, umefaidika kwa njia gani uliposhiriki mradi wa elimu wa PWC (Engisoma)? (BE06)

Data file: Engisoma_community

Overview

Valid: 37
Invalid: 3
Type: Discrete
Decimal: 0
Width: 2
Range: 1 - 37
Format: Numeric

Questions and instructions

Literal question
Je, umefaidika kwa njia gani uliposhiriki mradi wa elimu wa PWC (Engisoma)?
Categories
Value Category Cases
1 Elimu kati ya wazazi na waalimu, Elimu kwa mtoto wa kike, Kuwajengea nyumba watu wasio na uwezo 1
2.5%
2 Hamasa ya wazazi kupitia elimu ya Engisoma kusaidia ongezeko la watoto shuleni, Maarifa mapya ya namna ya kuwasaidia watoto katika kaya, Nimejifunza juu ya madhara yatokanayo na ndoa za utotoni 1
2.5%
3 Imesaidia watoto kujua kusoma na kuelewa 1
2.5%
4 Inasaidia watoto kujitambua, Inawaelimisha watoto na wazazi 1
2.5%
5 Jamii kuwa karibu na shule, Watoto wanafaidika na kutambua haki zao, Wanafunzi wanasoma kutumia mwannga wa solar 1
2.5%
6 Kufahamu mbinu shirikishi za kufundisha mtoto, Wazazi kushirikishwa katika vikao 1
2.5%
7 Kufundushwa waalimu, Mashine ya kuprinti mitihani pamoja na vifaa vyake, kupatikana kwa vitabu vya masomo yote pamoja na kupatikana kwa sola 1
2.5%
8 Kujua haki za waotot wa kike na wakiume, Usawa katika jamii, Kutowaozesha watoto wakike wakiwa katika umri mdogo, Kuelimika kwa jamii ya wafugaji 1
2.5%
9 Kuleta furaha na mawasiliano mazuri kati ya mwalimu na mtoto kupitia haki ya mtoto, Kurahisisha ufundishaji kwa kuleta vitabu, Kurahisisha ufanyaji wa mitihani kwa kuleta vifaa vya maabara na kuwafunP 1
2.5%
10 Kupata Elimu, Kupata maelekezo na mafunzo 1
2.5%
11 Kupata Elimu, Utoaji wa elimu juu ya mwamko kwa mtoto wa kike, Kusaidia vitabu kwaajili ya mwanafunzi na Kutoa misaada ya kuboresha miundombinu shuleni 1
2.5%
12 Kupata Elimu, Watoto kuata elimu, Wazazi wao wamefaidika watoto wao kupata elimu 1
2.5%
13 Kupata elimu, Kuelimisha jamii juu ya kutokomeza ukatili wa kijinsia na watoto, Kuwapa watoto haki ya kusoma 1
2.5%
14 Kupata mafunzo mbali mbali, Kupata mradi wa maji yaani pampu na vifaa vyake, Kushirikishwa hatua zote za mradi 1
2.5%
15 Kupata mafunzo mbalimbali yaliyorahishisha ufundishaji na usimamizi wa wanafunzi, Kupata ujuzi wa mbinu mbalimbali katika ufundishaji darasani, Kupata uwezo wa kushirikisha jamii katika shughuli mbal 1
2.5%
16 Kupata vifaa vya kufundishia, Kupata elimu na Kupata vifaa vya umeme 1
2.5%
17 Kupata vitabu vya kiada vya kufundisha na kujifunza , Kupata umeme wa solar unaosaidia wakati wa usiku, Semina za waalimu 1
2.5%
18 Kupatikana kwa Solar, Vitabu na Mashine ya kuprinti pamoja na waalimu kupata mafunzo kupitia semina mbalimbali 1
2.5%
19 Kupewa vitabu vya agriculture, Mafundisho, Kuimarisha mwanga kwa kuleta solar pannel, Motisha ya safari za kutembelea mbuga za wanyama 1
2.5%
20 Kupungua kwa ukeketaji katika jamii, Wanafunzi kupata vitabu vya kutosha vyua kusomea kupitia PWC, PWC imesaidia kutokomeza ukatili wa kijinsia kwa mama na mtoto 1
2.5%
21 Kutoa taarifa za kujifunzia, Kutoa vitanda vya wanafunzi, Kutoa elimu mbali mbali 1
2.5%
22 Kuwepo na mwanga wa kutosha , Kwezeshwa upatikanaji wa vitabu vya kujifunzia, Wanafunzi kupata maarifa zaidi kupitia kujisomea 1
2.5%
23 Mafunzo, Kufundishika 1
2.5%
24 Mafunzo, Vifaa vya pampu za maji 1
2.5%
25 Mbinu mbali mbali za kujifunza na kufunza, Zana mbali mbali, Mbinu shirikishi, Ufaulu wa wanafunzi (mabadiliko katika taalumu) 1
2.5%
26 Mwanzoni tulikuwa hatufahamu mitihani ya mwanafuzi lakini tulipopata elimu kupitia PWC tumejua kuangalia matokeo ya mwanafunzi na pia kufuatilia maendeleo ya watoto shuleni, Kupata elimu ya kujua njia 1
2.5%
27 Nimejia njia nzuri za kuwasaidia watotot katika kujifunza, Umuhimu wa kushirikisha wazazi katika suala zima la kujifunza, Faida ya kuwahamasisha watoto katika kujifunza na kuwa na muamko 1
2.5%
28 Nimepata kuju mambo mengi 1
2.5%
29 Sijafaidika 1
2.5%
30 Tumeweza kupata vitabu vya kujisomea, Uatikanaji wa mwanga wa kutosha kupitia solar 1
2.5%
31 Wamenufaika kupata elimu juu ya kuwalinda watoto na kutambua haki zao za msingi, Wanafunzi kutambua haki zao za msingi, Engisoma imesaidia kutengeneza mazingira 1
2.5%
32 Wamepata Elimu, Vifaa kama vitabu 1
2.5%
33 Wamepata mifugo yaani kondoo ambao sasa wamezaa, Wapemata mafunzo mbali mbali kupitia semina na wamepata mabomba ya maji 1
2.5%
34 Wanafunzi wanasoma kwa kupatiwa vitabu, Wanafunzi wanajisomea kwa kutumia solar, Ufaulu umeongezeka, Wanafunzi wametambua haki zao na Wanafunzi wanapata mai ya kutosha 1
2.5%
35 Wanafunzi waweze kutambua haki zao, Wanafunzi waweze kushirikiswa kwa njia shirikishi, Wanafunzi waweze kupata vifaa vya kujifunzia mfano vitabu, vile vile tumepata vifaa vya kujifunzia kidogo 1
2.5%
36 Wanafuzni wameweza kupata vitabu, Wanafunzi wameweza kupata nafasi ya kujieleza na kuelewa haki zao, Wanafunzi wanakaa kwenye mabweni yaliyo na hali nzuri 1
2.5%
37 Wanasaidia kusomesha wanafunzi wasiokuwa na uwezo, Kuhamasisha jamii na wanafunzi kuhusu masomo na ufaulu, wanafunzi wanatambua haki zao za msingi, wanafunzi wanajisomea kupitia umeme wa solar 1
2.5%
Sysmiss 3
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
RELI Microdata

© RELI Microdata, All Rights Reserved.