Microdata Portal
Datasets
Home
Catalog
Citations
RELI SKY
Collections
About
FAQs
Contact us
Login
Login
Home
/
Central Data Catalog
/
PWC02
Engisoma
Tanzania
,
2022
Get Microdata
Reference ID
PWC02
Producer(s)
Pastoral Women Council
Metadata
DDI/XML
JSON
Study website
Created on
Feb 20, 2024
Last modified
Feb 20, 2024
Page views
4268
Downloads
62
Study Description
Data Description
Downloads
Data files
Engisoma_2_baseline
Engisoma_community
Engisoma_Evaluation_STUDENT
Data file: Engisoma_community
Cases:
40
Variables:
134
Variables
B01
Tarehe ya Tathmini
B02
Mkoa
B03
Wilaya
B04
Kata
B05
Kijiji
B06
Jina la Sekondari
B07
Jina la Mdodosaji
D1
Jinsia ya mdodoswaji/Mtoa taarifa
D2
Je una miaka mingapi?
D3
Je ni watu wa ngapi wanaishi na wewe nyumbani kwako?
D4
Je una kiwango gani cha elimu?
D5A
Ni nani anayehudumia familia kwa njia ya kipato?
D5B
Ni nani anayehudumia familia kwa njia ya kipato?-Nyenginezo
HDM05aa
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (0-5)-Male
HDM05ab
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (0-5)-Female
HDM05ba
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (6-17)-Male
HDM05bb
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (6-17)-Female
HDM05ca
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (18-29)-Male
HDM05cb
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (18-29)-Female
HDM05da
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (30-41)-Male
HDM05db
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (30-41)-Female
HDM05ea
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (42-53)-Male
HDM05eb
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age (42-53)-Female
HDM05fa
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age 54+ Male
HDM05fb
idadi ya wanafamilia ukitoa anayedodoswa/mtoa taarifa Age 54+ Female
AE01
Je, wanafunzi wako wote wa sekondari wamekuwa wakihudhuria darasani?
AE02a
Kama hapana, unafikiria Ndoa za utotoni ndiyo sababu inayowafanya hawahudhurii?
AE02b
Kama hapana, unafikiria Mimba za utotoni ndiyo sababu inayowafanya hawahudhurii?
AE02c
Kama hapana, unafikiria Mila na desturi ndiyo sababu inayowafanya hawahudhurii?
AE02d
Kama hapana, unafikiria Mwamko mdogo wa elimu kwa familia ndiyo sababu inayowafa
AE02e
Kama hapana, unafikiria Umaskini wa familia ndiyo sababu inayowafanya hawahudhur
AE02f
Kama hapana, unafikiria Umbali wa shule ndiyo sababu inayowafanya hawahudhurii?
AE02g
Kama hapana; Je, ni sababu zipi zinayowafanya hawahudhurii? Eleza...
AE03
Je, unafahamu kama wanafunzi wote waliosajiliwa kidato chako I, II, III na IV) w
AE04
Kwa muda wa wiki nne zilizopita unafahamu mwanafunzi aliyeshindwa kwenda darasan
AE05
Je, kwa miaka miwili iliyopita hali ya usajili wa wanafunzi katika shule iliyopo
AE06
Je, mwaka 2022 kuna wanafunzi walioshindwa kumaliza kidato cha nne ndani ya jami
AE07a
Kama ndiyo, ni wangapi Wanaume walioshindwa kumaliza kidato cha nne?
AE07b
Kama ndiyo, ni wangapi Wanawake walioshindwa kumaliza kidato cha nne?
AE08a
Je, Ndoa za utotoni ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha wanafunzi kutokuma
AE08b
Je, Mimba za utotoni ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha wanafunzi kutokum
AE08c
Je, Mila na desturi ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha wanafunzi kutokuma
AE08d
Je, Mwamko mdogo wa elimu kwa familia ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha
AE08e
Je, Umaskini wa familia ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha wanafunzi kuto
AE08f
Je, Umbali wa shule na nyumba ni moja ya sababu 3 kubwa zinzaosababisha wanafunz
AE08g
Je, ni zipi sababu nyengine kubwa zinzaosababisha wanafunzi kutokumaliza kidato
AE09a
Je, shule inampango wa Kushirikisha wazazi kama mkakati kuhakikisha wanafunzi w
AE09b
Je, shule inampango wa kuhamasisha wazazi kama mkakati kuhakikisha wanafunzi wa
AE09c
Je, shule inampango wa kushirikisha serikali ya kijiji kama mkakati kuhakikisha
AE09d
Je, shule inampango wa Kamati ya shule inafuatilia uandishi wa watoto kama mkaka
AE09e
Je, shule inampango wa Kutumia sheria kuhakikisha wanafunzi wanahudhuria shule k
AE10
Je kwa sasa wazazi wa jamii ya kifugaji wanashiriki katika kuhakikisha usajili
AE11
Je kwa sasa wazazi wa jamii ya kifugaji wanafuatilia maendeleo ya watoto wao sh
AE12
Kama ndiyo, unadhani ni kwa kiwango gani?
BE01
Je shule ina waalimu wa kutosha kwa masomo yote?
BE02
Je, shule imekua ikiwahusisha kikamilifu wazai katika maendelo y awanafunzi sh
BE03a
Kama Ndio, Mikutano ya wazazi shuleni ni moja ya njia zilizokuwa zikitumika?
BE03b
Kama Ndio, Mikutano ya maendeleo ya shule ni moja ya njia zilizokuwa zikitumika?
BE03c
Kama Ndio, Kupata taarifa ya maendelo kutoka kwa mwalimu ni moja ya njia zilizok
BE03d
Kama Ndio, njia nyengine ni zipi zilizokuwa zikitumika? Elezea
BE04
Je, unapenda kwa kiasi gani mbinu ya ushirikishawaji inayotumiwa na walimu wakat
BE05
Je, unaridhika na matokeo ya ufaulu wa wanafunzi shuleni?
BE06
Je, umefaidika kwa njia gani uliposhiriki mradi wa elimu wa PWC (Engisoma)?
BE07
Je unashauri njia gani zitumiwe kushirikisha wazazi na jamii ili kuboresha ufaul
BE08
Je, waalimu wamekuwa wakikupatia maelezo kuhusu matokeo ya mwanafunzi wako?
BE09
Je, miundo mbinu ya shule imeboreshwa na PWC -Mradi wa engisoma katika kusaidia
BE10a
Kama Ndiyo. Je, Madarasa ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10b
Kama Ndiyo. Je, Madawati/Viti ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10c
Kama Ndiyo. Je, Makitaba ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10d
Kama Ndiyo. Je, Maabara ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10e
Kama Ndiyo. Je, Mabweni ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10f
Kama Ndiyo. Je, Vitanda ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10g
Kama Ndiyo. Je, Magodoro ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10h
Kama Ndiyo. Je, Vitabu ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10i
Kama Ndiyo. Je, Maji ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10j
Kama Ndiyo. Je, Sola ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
BE10k
Kama Ndiyo. Je, Club za afya na haki ni moja ya miundo mbinu iliyoboreshwa?
DE1
Je, unafahamu kuhusu haki za watoto?
DE2a
Kama ndiyo, Je ni kulindwa?
DE2b
Kama ndiyo, Je ni Kuishi?
DE2c
Kama ndiyo, Je ni Kuendelezwa?
DE2d
Kama ndiyo, Je ni Kushirikishwa?
DE3
Je, ulishawahi kupata mafunzo kuhusu haki za watoto?
DE4a
Kama, ndiyo mafunzo hayo ya hazi za watoto ulipata kutoka Shuleni ?
DE4b
Kama, ndiyo mafunzo hayo ya hazi za watoto ulipata kutoka PWC?
DE4c
Kama, ndiyo mafunzo hayo ya hazi za watoto ulipata kutoka Serikali ?
DE4d
Kama, ndiyo mafunzo hayo ya hazi za watoto ulipata kutoka Mashirika mengine yasi
DE5
Je, Kwa sasa unaweza kusaidia katika utetezi juu ya haki za watoto?
DE6
Je, kwa sasa watoto katika jamii yako wana fursa ya kutoa maoni yao katika mambo
DE7
Je, unahisi watoto wako salama kutokana na hatari na ukatili katika jamii/shule
DE8a
Kama,unajisikia/unahisi kuwa hawako salama muda wote; Je, ni kwa sababu ya Kulaz
DE8b
Kama,unajisikia/unahisi kuwa hawako salama muda wote; Je, ni kwa sababu ya Ndoa
DE8c
Kama,unajisikia/unahisi kuwa hawako salama muda wote; Je, ni kwa sababu ya Ndoa
DE8d
Kama,unajisikia/unahisi kuwa hawako salama muda wote; Je, ni kwa sababu ya Ukeke
DE8e
Kama,unajisikia/unahisi kuwa hawako salama muda wote; Je, ni kwa sababu zipi nye
DE10
Je, kwenye jamii yako kuna club za kuelimisha na kutetea haki za watoto na kupin
DKAP01
Je, watoto wakike wanaruhusiwa kupata elimu katika jamii yako kwa sasa?
DKAP02
Je, Jamii yako kwa sasa inalichukuliaje swala la elimu kwa mtoto wa kike?
DKAP03
Je, kwa miaka 2 iliyopita watoto wote wa kike wameweza kuhitimu/kuvuka kidato ki
DKAP04a
Kama hapana; Je, Ndoa za utotoni imekwamisha kuendelea na masomo na kuhitimu/k
DKAP04b
Kama hapana; Je, Mimba za mapema imekwamisha kuendelea na masomo na kuhitimu/kuv
DKAP04c
Kama hapana; Je, Ukeketaji imekwamisha kuendelea na masomo na kuhitimu/kuvuka ki
DKAP04d
Kama hapana; Je, Ndoa za kulazimisha imekwamisha kuendelea na masomo na kuhitimu
DKAP04e
Kama hapana; Je, ni zipi sababu nyengine znazokwamisha kuendelea na masomo na k
DKAP05
Je kwa sasa mtizamo wa jamii juu ya elimu kwa mtoto wa kike umebadilika?
DKAP06
Kama ndiyo, unafikiri umebadilika kwa kiwango gani?
DKAP07
Je ukeketaji wa mtoto wa kike bado unatekelezwa katika jamii yako ya kifugaji?
DKAP08
Kama ndiyo unatekelezwa kwa kiwango gani?
DKAP09
Ni mabadiliko gani unakiri unayaona baada ya PWC kutekeleza mradi engisoma kweny
ESG01
Je, shule ina bodi inayofanya kazi?
ESG02
Kama ndiyo, bodi ya shule imekuwa ikikutana mara ngapi?
ESG03
Je, Unafahamu majukumu ya bodi ya shule?
ESG04a
Kama ndiyo, Kusimamia maendeleo ya shule ni moja ya majukumu yake?
ESG04b
Kama ndiyo, Kusimamia ubora wa elimu ni moja ya majukumu yake?
ESG04c
Kama ndiyo, Kupitisha mpango kazi wa shule ni moja ya majukumu yake?
ESG04d
Kama ndiyo, Kuainisha mahitaji ya taaluma ni moja ya majukumu yake?
ESG04e
Kama ndiyo, Nidhamu ya wanafunzi ni moja ya majukumu yake?
ESG04f
Kama ndiyo, Kuhamasisha michango kutoka kwa wazazi ni moja ya majukumu yake?
ESG05
Je, ni kwa namna gani mmekuwa mkishirikishwa katika uongozi wa shule?
FP01
Je, kuna Umoja wa Wazazi na Waalimu katika shule hii?
FP02
Je, wazazi wamekuwa wakishiriki katika maendeleo ya elimu kwa watoto wao?
FP03a
Kama ndiyo, wamekuwa wakishiriki kwa namna ya Mikutano ya shule?
FP03b
Kama ndiyo, wamekuwa wakishiriki kwa namna ya Kuandikisha?
FP03c
Kama ndiyo, wamekuwa wakishiriki kwa namna ya Kufuatilia maendeleo ya taaluma?
FP03d
Kama ndiyo, wamekuwa wakishiriki kwa namna ya Maendeleo ya shule?
FP03e
Kama ndiyo, wamekuwa wakishiriki kwa namna gani yengine? Taja..
FP04
Je umoja wa wazazi na waalimu unasaidia katika kuboresha elimu kwa wanafunzi nda
FP05
Je, ni yapi majukumu na wajibu wa umoja wa wazazi na waalimu katika kuboresha ub
FP06
Je, Kwenye Jamii yako kuna kamati ya MTAKUWWA inayofanya kazi?
FP07a
Je kamati ya MTAKUWWA imesaidiaje katika kupunguza/kutokomeza ukatili wa kijinsi
FP07b
Je kamati ya MTAKUWWA imesaidiaje katika kupunguza/kutokomeza ukatili wa kijinsi
FP07c
Je kamati ya MTAKUWWA imesaidiaje katika kupunguza/kutokomeza ukatili wa kijinsi
FP07d
Je kamati ya MTAKUWWA imesaidiaje katika kupunguza/kutokomeza ukatili wa kijinsi
FP07e
Je kamati ya MTAKUWWA imesaidiaje katika kupunguza/kutokomeza ukatili wa kijinsi
Total: 134
Back to Catalog