| Value | Category | Cases | |
|---|---|---|---|
| 1 | Kufanya mkutano shuleni, Kufuatilia maendeleo ya shule na taaluma | 1 |
2.5%
|
| 2 | Kufuatia maendeleo ya watoto kupitia matokeo, Kuhakikisha mwanafunzi anapata elimu stahiki na kumpa mzazi pamoja na mwanafunzi ushirikiano kuhusiana na maendeleo ya shule | 1 |
2.5%
|
| 3 | Kufuatilia maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi, Kuhamashisha wazazi kulipa michango mbali mbali | 1 |
2.5%
|
| 4 | Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi shuleni | 1 |
2.5%
|
| 5 | Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, Kuwashirikisha wazazi mambo ya maendeleo shuleni | 1 |
2.5%
|
| 6 | Kufuatilia maendeleo ya wanafunzi, Kuhamasisha michango ya shule na Nidhamu kwa wanafunzi | 1 |
2.5%
|
| 7 | Kufuatilia taaluma ya watoto | 1 |
2.5%
|
| 8 | Kuhakikisha wanafunzi wanahudhuria vipindi vyote na kuhakikisha wanafunzi wanafaulu | 1 |
2.5%
|
| 9 | Kuhamasishwa kuwa kupitia vikao | 1 |
2.5%
|
| 10 | Kuhimiza mahudhurio ya wanafunzi shuleni | 1 |
2.5%
|
| 11 | Kujadili kwa pamoja maendeleo ya taaluma ya wanafunzi, Kubaini changamoto mbalimbali yanayokabili wanafunzi | 1 |
2.5%
|
| 12 | Kulinda nidhamu ya watoto wakiwa shuleni | 1 |
2.5%
|
| 13 | Kumpatia mahitaji na mafunzo mwanao awe bora | 1 |
2.5%
|
| 14 | Kumpatia mtoto haki za kimsingi ili aweze kuendelea vizuri na masomo yake | 1 |
2.5%
|
| 15 | Kumtimizia mwanafunzi/mtoto mahitaji yake na kuhakikisha maendeleo yake shuleni kwa mzazi na kutoa maendeleo ya mtoto shuleni kwa upande wa mwalimu | 1 |
2.5%
|
| 16 | Kushiriki katika kutatua changamoto mbali mbali za shule | 1 |
2.5%
|
| 17 | Kushiriki katika vikao vya shule na kupata changamoto mbali mbali zinazozikabili shule, Wazazi na waalimu wote kwa pamoja kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi mmoja mmoja | 1 |
2.5%
|
| 18 | Kushiriki katika vikao vya wazazi na walimu ili kujua maendeleo ya wanao na shule kwa ujumla, Kujua kiwango cha ufaulu na wanafunzi shuleni | 1 |
2.5%
|
| 19 | Kushiriki vikao na h=kuhamasisha wazazi kuleta watoto shuleni kwa wakati | 1 |
2.5%
|
| 20 | Kushirikiana juu ya maendeleo ya mtoto awapo nyumbani na shuleni | 1 |
2.5%
|
| 21 | Kusimamia taaluma ya wanafunzi | 1 |
2.5%
|
| 22 | Kusimamia wanafunzi katika taaluma na nidhamu ili kuboresha elimu bora zaidi | 1 |
2.5%
|
| 23 | Kutoa elimu na hamasa kwa watoto wao kupenda kusoma | 1 |
2.5%
|
| 24 | Kutoa elimu na mafunzo kwa watoto | 1 |
2.5%
|
| 25 | Kutoa mafunzo na elimu kupitia mikutano | 1 |
2.5%
|
| 26 | Kutoa taarifa na kutoa ushirikiano wa walimu na wazazi | 1 |
2.5%
|
| 27 | Kutokomeza utoro wa wanafunzi na kuhadili mbinu mbali mbali za ufaulu | 1 |
2.5%
|
| 28 | Kuwashauri wanafunzi kusima vizuri na kuwapatia mahitaji yao ili waweze kuendelea katika masomo yao | 1 |
2.5%
|
| 29 | Kuweka bayana mipaka ya shule | 1 |
2.5%
|
| 30 | Kuwezesha mwanafunzi kusoma | 1 |
2.5%
|
| 31 | Mahitaji muhimu, Malezi mazuri, Kuwa na mawasiliano mazuri kati ya mzazi, mwanafunzi na mwalimu | 1 |
2.5%
|
| 32 | Mazingira salama ya mwanafunzi kujisomea, Uhudhuriaji wa wanafunzi, Kuwapatia wanafunzi mahitaji yao | 1 |
2.5%
|
| 33 | Mtoto kapata elimu bora na ufaulu mzuri | 1 |
2.5%
|
| 34 | Walimu kuwafundisha watoto kwa bidii ili waweze kufaulu mitihani vizuri | 1 |
2.5%
|
| Sysmiss | 6 |