| Value | Category | Cases | |
|---|---|---|---|
| 1 | Elimu kuimarika na ufundishaji bora | 1 |
2.5%
|
| 2 | Haki ya mtoto | 1 |
2.5%
|
| 3 | Haki ya mtoto kupatikana, Mwamko wa Elimu, Miundo mbinu kuboreshwa | 1 |
2.5%
|
| 4 | Idadi ya wanafunzi kuhitimu imeongezeka kwa kiasi kikubwa, Idadi ya watoto wa kike shuleni imeongezeka | 1 |
2.5%
|
| 5 | Jamii imeanza kubadilika na kuachana na mila potofu kupitia mradi wa PWC, Wanafunzi wamepata vitabu na mazingira mazuri ya kujisomea | 1 |
2.5%
|
| 6 | Jamii kuhamashishwa kuhusu mtoto wa kike kupata elimu, Walimu kujitahidi kufundisha na kutoa ushirikiano kwa wazazi | 1 |
2.5%
|
| 7 | Kuboreshwa kwa ufaulu shuleni, Kuongezeka kwa usajili wa waotot hasa wakike, Kuongezeka kwa shauku ya kujifunza hasa watoto wa kike | 1 |
2.5%
|
| 8 | Kuelimika kifikra | 1 |
2.5%
|
| 9 | Kupata elimu kuhusu swala zima la shule, Jamii imekuwa na mtazamo mzuri juu ya kuwaelimisha watoto wa kike | 1 |
2.5%
|
| 10 | Kupata elimu ya kutokomeza ukeketaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto wa kike, Ndoa na mimba za utotoni, Kuripoti na kufuatilia kesi mbalimbali za watoto wa kike wanapoachishwa shuleni | 1 |
2.5%
|
| 11 | Kupata ufanisi kazini, Kupata elimu bora | 1 |
2.5%
|
| 12 | Kupatikana kwa vitabu vya kiada vinavyosaidia wanafunzi na waalimu kujifunza, Uwepo wa mwanga wa kutosha katika madarasa pamoja na nyumba za waalimu | 1 |
2.5%
|
| 13 | Mabadiliko ninayokiri ni ufaulu wa wanafunzi kuwa mkubwa kutokana na mbinu mbalimbali kutumika iliyoletwa na miradi ya engisoma | 1 |
2.5%
|
| 14 | Mwamko mkubwa wa wazazi kushiriki katika vikao na kupata semina mbalimbali kupitia mradi hu wa PWC na kuwepo kwa mabadiliko tofauti kulinganisha na miaka mingine ya nyuma | 1 |
2.5%
|
| 15 | Mwamko wa elimu kwa watoto wa jamii za wafugaji umeongezeka kwani hata suala la utoro kwa wanafubzi limepungua kwa kiasi fulani | 1 |
2.5%
|
| 16 | Mwamko wa kusoma,Mwamko wa kujituma, Kujitambua na kujithamini kupitia elimu waipatayo | 1 |
2.5%
|
| 17 | Mwitiko mkubwa wa jamii kusomesha watoto hasa wa kike na kuacha mila potofu | 1 |
2.5%
|
| 18 | Nzuri sana | 1 |
2.5%
|
| 19 | Ongezeka la watoto wa shule katika kupata elimu hii ya sekondari licha ya ukweli kuwa sio wote wamesajiliwa ama kuandikishwa huwa wanafikia malengo ya kuhitimu elimu ya sekondari | 1 |
2.5%
|
| 20 | Solar, Watoto wanasoma vitabu, maabara,Club za haki za watoto, madarasa na maktaba | 1 |
2.5%
|
| 21 | Tumebadilika kutoka kwenye analogy kwenda digital japo kwa uchache, Tumepata vitabu vya kujifunzia hasa masomo ya sayansi, Tumeweza kuboresha mbinu za ufundishaji mfano kutumia laptop, tablet na proje | 1 |
2.5%
|
| 22 | Tumekuza muemko wa elimu kwa kiasi flani imesaidia kujua haki za mtoto wa kike na namna ya kuzilinda | 1 |
2.5%
|
| 23 | Ufaulu mzuri kwa wanafunzi, Kuwashawishi jamii kuwaleta watoto wao wasome kwenye shule yetu, Kuwajenga wanafunzi kuwa na uwezo wa kujiajiri baada ya kuhitimu kidato cha nne | 1 |
2.5%
|
| 24 | Ufaulu umeongezeka, Wanafunzi wanajisomea kupitia Vitabu, Solar kutoka PWC, Wanafunzi wanaishi sehemu salama na pia wamejenga madarasa | 1 |
2.5%
|
| 25 | Ufaulu wa wanafunzi kutokana na umeme kuwepo wakati wote kwaajili ya kujifunza na pia upatikanaji wa vitabu vya kutosha | 1 |
2.5%
|
| 26 | Ukeketaji umetokomezwa kpitia elimu waliyoipata, Ndoa za utotoni zimepungua ni mpaka mtoto aamue kuolewa kwa hiari yake mwenyewe | 1 |
2.5%
|
| 27 | Ushirikiswaji wa waalimu na wazazi juu ya maswala ya watoto wa kike | 1 |
2.5%
|
| 28 | Wanafunzi wameelimika na wamejua haki zao na wajibu | 1 |
2.5%
|
| 29 | Wanafunzi wameweza kupata solar za kusomea na maji ambayo wanatumia kupitia PWC kwa utekelzaji wao mkubwa umesaidia sana shule kuendelea kimaendeleo | 1 |
2.5%
|
| 30 | Wanafunzi wanajisomea kupitia sola iliyotolewa na PWC, Watoto na wanafunzi wanapata elimu nzuri kupitia vitabu, wanafunzi wanatambua haki zao za kulindwa, kusihi na kuendelezwa | 1 |
2.5%
|
| 31 | Watoto wa kike kujielewa na kukataa ukatili wa kijinsia hasa ukeketaji na kuwezeshwa mapema kwasababu wamepata elimu kutoka PWC | 1 |
2.5%
|
| 32 | Watoto wa kike kupelekwa shule, Watoto wa kike kutokuozeshwa mapema na Mafunzo ya kuelimisha jamii | 1 |
2.5%
|
| 33 | Watoto wa kike wamepata elimu juu ya umuhimu wa elimu | 1 |
2.5%
|
| 34 | Watoto wamejua haki zao na maendeleo yao yako vizuri darasani | 1 |
2.5%
|
| 35 | Watoto wamejua kusoma na kuandika | 1 |
2.5%
|
| 36 | Wazazi kwa kupeleka watoto shuleni | 1 |
2.5%
|
| 37 | wazazi wamepata mwamko wa elimu swala la ukeketaji limepungua, pia wanafunzi wameweza kupata mabadiliko mazuri katika masomo darasani | 1 |
2.5%
|
| Sysmiss | 3 |