Site Logo
Microdata Portal
  • Datasets
  • Home
  • Catalog
  • Citations
  • RELI SKY
  • Collections
  • About
  • FAQs
  • Contact us
  • Login
    Login
APHRC Logo
    Home / Central Data Catalog / PWC02 / variable [F4]
central

Engisoma

Tanzania, 2022
Get Microdata
Reference ID
PWC02
Producer(s)
Pastoral Women Council
Metadata
DDI/XML JSON
Study website
Created on
Feb 20, 2024
Last modified
Feb 20, 2024
Page views
24385
Downloads
228
  • Study Description
  • Data Description
  • Downloads
  • Data files
  • Engisoma_2_baseline
  • Engisoma_community
  • Engisoma_Evaluation_STUDENT

Ni mabadiliko gani unakiri unayaona baada ya PWC kutekeleza mradi engisoma kweny (DKAP09)

Data file: Engisoma_Evaluation_STUDENT

Overview

Valid: 361
Invalid: 1
Type: Discrete
Decimal: 0
Width: 3
Range: 1 - 350
Format: Numeric

Questions and instructions

Literal question
Ni mabadiliko gani unakiri unayaona baada ya PWC kutekeleza mradi engisoma kwenyu
Categories
Value Category Cases
1 Amabo walikuwa hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu sasa wanajua 1
0.3%
2 Badiliko kubwa ni kwamba imeweza kuwasaidia hasahasa kwa watoto wa kike kupata haki zao za kimsingi mfano kusoma 1
0.3%
3 Club, Viatu, Maji, Mafunzo ya mwalimu 1
0.3%
4 Elimu kutolewa kwa watoto wa kike, Watoto kutambua haki zao za msingi, Kutokomeza ukatili kwa jamii zetu kama ukeketaji 1
0.3%
5 Elimu ya Kijinsia, Kusaidia kuboresha Cubs ya haki na watoto, Kuibua vipaji vya watoto na Ushauri nasaaa 1
0.3%
6 Elimu ya bure, vitabu na kuboreshwa kwa masomo 1
0.3%
7 Haki za watoto, tumepata maji na tunaishi katika mazingira mazuri 1
0.3%
8 Idadi ya watoto wanaokeketwa imepungua kwa kiasi kikubwa sana na zimebakia jamii chache zinazokeketwa na nimatumaini yangu siku sio nyinyi nao pia wataacha 1
0.3%
9 Imebadilisha wanafuzni kuelewa na ksuoma vizuri lugha ya kingireza na kuendeleza masomo yao, pia wamefanya wanafuzni wasiyoweza kusoma na kuandika pia waweze 1
0.3%
10 Imeleta mabadiliko ya kutetea haki za watoto ambao wa kike walikuwa wananyanyaswa na imepunguza ukatili katika jamii na imeleta maendeleo katika shule 1
0.3%
11 Imeongeza idadi ya watoto wa kike shuleni 3
0.8%
12 Imeongeza idadi ya watoto wa kikeshuleni 1
0.3%
13 Imepata maji salama, kutambua haki za watoto, magodoro na ukarabati wa bweni 1
0.3%
14 Imepunguza changamoto ya maji, Imepunguza uhaba wa vifaa vya kujisomea kama vitabu vya kujifunzia 1
0.3%
15 Imesaidia kuweza kusoma vizuri, Club zingine zimeundwa 1
0.3%
16 Imesaidia utoaji wa elimu ya kijinsia 1
0.3%
17 Imesaidiia elimu ya kijinsia kwa watoto wa kike 1
0.3%
18 Imetupa elimu bora na kutusaidia vitu ambavyo hatuna 1
0.3%
19 Imetupa mabadiliko kwasababu kuwa watoto walikuwa hawajui kusoma vizuri na kuandika lakini sasa hivi wanajua, Imetusaidia kupata maji 1
0.3%
20 Imetupatia maji shuleni na tumejua kuhusu haki za watoto 1
0.3%
21 Imetusaidia kujifunza vitu vingi, Imetusaidia kuboresha afya 1
0.3%
22 Imetusaidia kupata maji amazuri, walimu wametusaidia kuongeza jitihada, Kuendelea vizuri katika masomo 1
0.3%
23 Inatusaidia kusoma na kufaulu katka mitihani yetu, Imetupatia mwanga katika kusoma, tumeweza kulala vizuri bila shida yoyote Pia Club imetusaidia katika kushare idea tulizonazo kichwani 1
0.3%
24 Jamii kuelimika 1
0.3%
25 Kiwango cha ukeketaji kilikuwa ni cha kiwango kikubwa lakini sasa ni cha wastani 1
0.3%
26 Kuboresha elimu 1
0.3%
27 Kuboresha stima, Kujenga maabara mpya ya kisasa, kuanzisha kwa kilimo dumu 1
0.3%
28 Kuboreshwa kwa huduma ya maji, kuongezeka kwa ufaulu na kuongezeka kwa mahudhurio ya mwanafunzi darasani 1
0.3%
29 Kuboreshwa kwa maji 1
0.3%
30 Kuboreshwa kwa pampu za maji, kupata elimu kuhusu unyanyasaji kwa wanawake na watoto 1
0.3%
31 Kuelimika, tumefahamu haki za mtoto wa kike 1
0.3%
32 Kuelimisha haki za watoto wa kike, Kuzitambua haki za watoto wa kike, Kuleta faida za kusoma kwa watoto wa kike, Kuelewa athari za mimba, ndoa za utotoni, ukeketaji wa umri mdogo 1
0.3%
33 Kuelimisha jamii na kutuelimisha kujua haki sisi wote 1
0.3%
34 Kuelimisha jamii, Kujua kusoma na kuandika 1
0.3%
35 Kuelimisha jamii, kuwasaidia wanajamii na kutuelekeza mambo ya ukeketaji 1
0.3%
36 Kuelimisha kuhusu haki za watoto wa kike 1
0.3%
37 Kufaulu vizuri, kufanya kazi kwa urahisi kama kufua, kupika n.k kutokana na kupata huduma ya maji 1
0.3%
38 Kuifungua jamii macho ya kuwa jinsia zote mbili kwa maana ya mwanamke na mwanaume zinaweza kuleta maendeleo katika jamii, Swala la elimu linapaswa kutolewa kwa wote katika jamii 1
0.3%
39 Kuimarisha elimu kwaajili ya haki za watoto, imeleta mabadiliko kwa shule za jamii 1
0.3%
40 Kuinua shule, Kuleta vitabu vya kujifunza, Maabara ya kisasa na Cows Project 1
0.3%
41 Kujenga bweni, Kuanzisha club ya Tapala, Ukeketaji na mimba za utotoni 1
0.3%
42 Kujifunza hayo uliyo ya taarifu vifaa kama tulivyoshirikishwa ujumbe kwasababu umelisema, asanteni 1
0.3%
43 Kujifunza madhara ya ukeketaji, Kujifunza athari za ndoa za utotoni, kupata maarifa na kujifunza mambo mabli mbali 1
0.3%
44 Kujifunza namna mbalimbali za usomaji darasani 1
0.3%
45 Kujua elimu ni muhimu, Kwenda kutoa elimu katika jamii zetu, Kujikinga na ukeketaji 1
0.3%
46 Kujua haki za watoto, kupiga vita ukeketaji na kujua umuhimu wa haki za binadamu 1
0.3%
47 Kujua kusoma kingereza na kuandika, Vitabu vya kujifunzia na Kuongezeka kwa maji 1
0.3%
48 Kukomesha ukatili wa kijinsia pia na watoto kujua haki zao 1
0.3%
49 Kukomesha ukeketaji kwa watoto wa kike kuacha kwenda shuleni 1
0.3%
50 Kukomeshwa kwa ukeketaji na watoto wa kike kuanza kwenda shule 1
0.3%
51 Kukomeshwa kwa ukeketaji, Kwa watoto wa kike ukatili umepungua na kuanza kwenda shuleni na wamekomesha ndoa za utotoni 1
0.3%
52 Kukomeshwa kwa ukeketaji, Watoto wa kike kuanza kwenda shule 1
0.3%
53 Kuleta vitabu vyote 1
0.3%
54 Kuletwa kwa vitanda na Vitabu, Waalimu kupewa mafunzo jinsi ya kuandaa maandalio, Mradi wa Maji 1
0.3%
55 Kuna mabadiliko kama umetatua shida ya maji iliyokuwepo kwa muda mrefu 1
0.3%
56 Kuongezeka kwa vitabu, maabara na mabweni 1
0.3%
57 Kupata elimu, maji, kupata sehemu ya kulala na kupata elimu kuhusu ukeketaji 1
0.3%
58 Kupata maji hivyo tunaishi kwenye mazingira safi, Jujua haki za watoto, Kujengewa madarasa, Kujengewa vifaa vya shule kama vile kiti na meza 1
0.3%
59 Kupata maji kwa wakati, Kwa haki za watoto kupata namna ya kujitetea tukiwa tunaonewa 1
0.3%
60 Kupata malazi mazuri, Kupata uelewa wa usomaji 1
0.3%
61 Kupata vitabu vya kujisomea, Kupata mwanga wa kujisomea kupitia solar na tumepata mafunzo kupitia shirika la PWC 1
0.3%
62 Kupata vitabu vya kujisomea, Vitanda hatulali chini pia Club hii ni nzuri inaelimisha sana 1 1
0.3%
63 Kupata vitabu vya kusoma ilikuweza kufaulu, Kupata sola taa ya kutumia kujisomea usiku, Kupata viti vya kutumia kukalia wakatu wa darasani 1
0.3%
64 Kupatiwa sola tunaweza kusoma kwa bidii, Walalimu wetu wamefundishwa jinsi ya kuandaa maandalio na Tumepewa vitanda 1
0.3%
65 Kupatiwa vitabu, Kupatiwa vitanda, walimu wamepewa mafunzo mbali mbali 1
0.3%
66 Kupatiwa vitanda, maji, walimu wamepatiwa mafunzo mbali mbali , tumepatiwa sola 1
0.3%
67 Kupungua kwa unyanyasaji wa watoto wa kike, Ukeketaji kupugua kwa jamii ya wafugaji 1
0.3%
68 Kusaidia kuleta vitabu mbalimbali vya masomo na wanafunzi kwa ulinzi katika jamii zao 1
0.3%
69 Kusoma hadithi mbali mbali, Kupata mwanga wakujisomea wakati wa usiku 1
0.3%
70 Kutambua haki za watoto, Kuhamasishwa na shirika la Tapala, Kupatiwa maji 1
0.3%
71 Kutokana na PWC kuitekeleza miradi mbali mbali ambayo imeweza kusaidia katika kukuza na kuelimisha watoto pia kupewa mafunzo dhidi ya ukeketaji na mengine mengi 1
0.3%
72 Kutuendeleza kwenye maabara, kuleta umeme, mradi wa asali na kuwaendeleza kwa wasiojua kusoma 1
0.3%
73 Kutunza aki za binadamu, Kupata mwanga wa kutosha kupitia sola, kupata vitabu na haki za watoto kwa ujumla 1
0.3%
74 Kutupatia ubora wa afya, Kuepuka magonjwa 1
0.3%
75 Kuwa na mwanga wa kutosha wakati wa kujisomeakwasababu ya sola na kusoma kwa bidii 1
0.3%
76 Kuwa na wastani mkubwa wa kufaulu, kuboresha miundombinu kama madarasa, kuwapeleka watoto wa kike shule 1
0.3%
77 Kuwepo kwa maji muda wote, Haki kwa watoto wa kike shuleni na nyumbani kwa kiwango cha wastanni 1
0.3%
78 Kuwepo kwa sola, maji na vitabu 1
0.3%
79 Kwanza jamii za kifugaji zimeweza kupata elimu, pili mtoto wa kike na yeye anatakiwa kupata elimy na waalimu wamepatiwa mafunzo, clubs, Maji na Vitabu 1
0.3%
80 Kwanza tumepata elimu ya umuhimu wa kijinsia katika jamii yetu 1
0.3%
81 Maabaa, Maji, Sola na Maabara 1
0.3%
82 Maabara Maji, Maktaba na Umeme 1
0.3%
83 Maabara, Club tofauti, Maktaba na Taa za Sola 1
0.3%
84 Maabara, Club tofauti, Sola na Maktaba 1
0.3%
85 Maabara, Club tofauti, Sola, Maktaba na Maji 1
0.3%
86 Maabara, Mabweni, Mradi na kuongezeka kwa vitabu 1
0.3%
87 Maabara, Maji, Sola na Maktaba 2
0.6%
88 Maabara, Maktaba, Maji na Bweni 1
0.3%
89 Maabara, Maktaba, Maji, Sola, Vitabu, Club za afya na haki na Mabweni 1
0.3%
90 Maabara, Sola, Maji na Maktaba 5
1.4%
91 Maabara, Sola, Maji, Maktaba na Clun tofauti 1
0.3%
92 Maabara, Sola, Maktaba na Club tofauti 1
0.3%
93 Maabara, Sola, Maktaba na Maji 3
0.8%
94 Maabara, Sola, Maktaba, Maji na Club tofauti tofauti 1
0.3%
95 Maabara, Sola, Maktaba, Maji na Klabu tofauti 1
0.3%
96 Maabara, Sola, maktaba, Klabu tofautitofauti 1
0.3%
97 Maabara, Solar, Bweni na kuanzisha kilimo 1
0.3%
98 Maabara, Solar, Maktaba, Maabara, Maji na Club tofauti 1
0.3%
99 Maabara,Maji, Maktaba na Club za afya na haki 1
0.3%
100 Mabadiliko ambayo nimeyaona ni watoto wamepata elimu na kutoa elimu ya kijinsia kwa jamii yetu na mabadiliko ya sola na tableti 1
0.3%
101 Mabadiliko ambayo tumeyaona ni kama ifuatavyo; Clubs, Chakula Usajili wa wanafunzi kukomesha utoro wa wanafunzi wa kike 1
0.3%
102 Mabadiliko mazuri, madawati yanatusaidia kwaa kwasababu madawati yasinge kuwepo tusingeweza kukaa wakati wa kusoma 1
0.3%
103 Mabadiliko ni kupata umuhimu wa elimu ya kijinsia kwa watoto wa kike 1
0.3%
104 Mabadiliko tuliyo yaona baada ya PWC kutekeleza mrai wa Engisoma shuleni kwetu ni wanafunzi wamekuwa wakifaulu kwa kiwango cha juu 1
0.3%
105 Mabadiliko tuliyopata tumepata kwenye maji, zamani kulikuwa hakuna pampu lakini tumepata na ni vizuri 1
0.3%
106 Mabadiliko ya Club za Haki, Vitabu vya kusoma na Mabadiliko ya michezo 1
0.3%
107 Mabadiliko ya maji, mabadiliko ya ukeketaji kwenye jamii 1
0.3%
108 Mabadiliko yaliyojitokeza katika shule yangu ni kuboreshwa kwa miundombinu kama huduma za maji pamoja na kutambua haki za waotot 1
0.3%
109 Mabadiliko yaliyoletwa na PWC kama maabara, kuinua shule, Kuongeza miradi 1
0.3%
110 Madarasa na mabweni, vitu vingi kama vile pamu 1
0.3%
111 Maji kwa uwakika, vifaa vya michezo na vitabu 1
0.3%
112 Maji kwa wingi, vitanda vingi, madarasa mazuri na tunaingia ndani ya madarasa 1
0.3%
113 Maji, Afya njema, Kuongezwa mabweni na Vitabu 1
0.3%
114 Maji, Haki za watoto, Vitabu na Elimu kwa watoto wa kike 1
0.3%
115 Maji, Kuongezeka kwa vitabu na maabara 1
0.3%
116 Maji, Kuongezeka kwa vitabu na maabara na mabweni 1
0.3%
117 Maji, Kuongezeka kwa vitabu na mabweni 1
0.3%
118 Maji, Ongezeko la vitabu na maabara 1
0.3%
119 Maji, Sola, Vitanda, Magodoro, Mafunzo ya elimu kutoa mafunzo kwa usalama wa mtoto kuna remidio class 1
0.3%
120 Maji, Tumepewa vitabu kwaajili ya masomo, Tumepata vitanda kwaajili ya kupumzika, Club mbali mbali 1
0.3%
121 Maji, Tumetambua haki za watoto 1
0.3%
122 Maji, Vifaa vya michezo na Vitabu 1
0.3%
123 Maji, Vitabu na Mabweni 1
0.3%
124 Maji, Vitabu, Sola, Mafunzo mbali mbali kwaalimu/Vitanda na Club mbali mbali 1
0.3%
125 Maji, Vitabu, Sola, Vitanda, Walimu wamepewa mafunzo, Club mbali mbali zinazohusu haki za watoto 1
0.3%
126 Maji, Vitabu, Sola, Walimu wamepata mafunzo ya kuandaa maandalio 1
0.3%
127 Maji, Vitabu, Tmepata Solar, Tumepatiwa Vitanda na Tumepatiwa club mbali mbali zinazohusu haki za watoto 1
0.3%
128 Maji, Vitabu, Vitanda na Mafunzo ya waalimu 1
0.3%
129 Maji, Vitabu, Vitanda, Sola na Waalimu wamepata elimu 1
0.3%
130 Maji, Vitabu, Vitanda, Sola na pia tena waalimu wamepatiwa mafunzo 1
0.3%
131 Maji, Vitabu, Vitanda, Sola, Majaba ya kunawia mikono na waalimu wamefata mafunzo kuaandaa maandalio 1
0.3%
132 Maji, Vitabu, Vitanda, Sola, Waalimu wamepata mafunzo 1
0.3%
133 Maji, vitanda, vitabu, sola, waalimu wamepatiwa mafunzo ya kuandaa mandalio, club mbali mbali kuanzishwa kuhusu haki za watoto 1
0.3%
134 Maji, vitanda, waalimu wamepatiwa mafunzo ya kuandaa maandalio, club mbali mbali zimeandaliwa 1
0.3%
135 Makubwa kwasababu watoto wakike wanakuja wote shuleni, Kujenga maabara mpya 1
0.3%
136 Masomo 1
0.3%
137 Mimi nimeona mabadiliko kwa kuwa wametuletea sola mbayo inatusaidia kusomea muda wowote unapohitaji, Pia wamejenga maabara ya kusomea kwa vitendo 1
0.3%
138 Mimi nimepata faida ya kuwasaidia watoto wa kike kutokana na unyanyasaji wa kijinsia na mimba za utotoni 1
0.3%
139 Miradi tuliyonayo ni kama maji, vitabu, remidio class, kutoa mafuno kwa kamati ya ulinzi, mafunzo ya waalimu 1
0.3%
140 Miradi ya maji, Kuongezeka kwa vitabu na mabweni 1
0.3%
141 Miradi ya sola imechangia pakuwa katika swala la masomo yetu haswa wakati wa jioni, pia mradi wa vitabu umechangia wakati wa kujisomea 1
0.3%
142 Mjai, Kuongezeka kwa vitabu, Maabara 1
0.3%
143 Mradi wa Maji, kuongezeka kwa vitabu na maabara 1
0.3%
144 Mradi wa PWC imeongeza idadi wa watoto wa kike shuleni 1
0.3%
145 Mradi wa PWC umesaidia kuongeza idadi ya watoto wa kike shuleni na kupunguza mimba za utotoni pamoja na ukeketaji 1
0.3%
146 Mradi wa PWC umetusaidia kupata maji safi na salama kama ambavyo imechangia kwa kiasi kikubwa katika ufaulu wetu kama wanafunzi 1
0.3%
147 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa maabara ba vitabu 1
0.3%
148 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu 2
0.6%
149 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu na Kuongezeka kwa maabara 1
0.3%
150 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu na Maabara 1
0.3%
151 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu na maabara 1
0.3%
152 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu, Maaara, Bweni la washichana pamoja na madarasa 1
0.3%
153 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu, Ongezeko la Maabara 1
0.3%
154 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu, maabara na bweni 1
0.3%
155 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu, maabara na mabweni 1
0.3%
156 Mradi wa maji, Kuongezeka kwa vitabu, mradi wa ujeni /maabara na Ujenzi wa Mabweni 1
0.3%
157 Mradi wa maji, Vitabu na Maabara 1
0.3%
158 Mradi wa maji, Vitabu, Maabara na Mabweni 1
0.3%
159 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitab, maabara na mabweni 1
0.3%
160 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu na kujenjwa kwa maabara 1
0.3%
161 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu na kuongezeka kwa maabara 1
0.3%
162 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu na maabara 2
0.6%
163 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu na maabara na mabweni 1
0.3%
164 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu na mabweni 1
0.3%
165 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu vya kusoma, maabara, madarasa na club za haki 1
0.3%
166 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu, kuongezeka kwa maabara na kuongezeka kwa mabweni 1
0.3%
167 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu, maabara na mabweni 1
0.3%
168 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu, maabara pamoja na bweni 1
0.3%
169 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu, maktaba na maabara 1
0.3%
170 Mradi wa maji, kuongezeka kwa vitabu, mradi wa maabara na mradi wa mabweni 1
0.3%
171 Mradi wa maji, maabara kuongezeka kwa vitabu na mabweni 1
0.3%
172 Mradi wa maji, maabara, vitabu na mabweni 1
0.3%
173 Mradi wa maji, mradi wa vitabu na kuongezeka kwa mabweni 1
0.3%
174 Mradi wa maji, ongezeko la vitabu na mabweni 1
0.3%
175 Mrai wa vitanda,atulali kwa kubanana, mradi wa maji atuteseki maji ya kutumia mradi wa vitabu atuteseki kusoma 1
0.3%
176 Mwanzoni kulikuwa na shida ya maji lakini sasa hatupati shida tena, tulikuwa hatuzijui haki zetu ila sasa tunazijua, mwanzoni waalimu walikuwa hawahudhurii vipindi lakini sasa wanahushuria 1
0.3%
177 Nayaona mabadiliko, wanafunzi wanasoma kwa bidii, wanalala mahali salama na kwa vitanda vizuri, wanafunzi kutimiza kufikia malengo yao, wanafunzi kupata mahitaji maalumu mfano maji na vitabu , kujitam 1
0.3%
178 Ndio kwasababu tumepata maji kutokana na pampu ya umeme pamoja na umeme mataa mbali mbali tunapata wakati wote 1
0.3%
179 Nilielimishwa juu ya haki za watoto pamoja na haya nimejua kusoma na kuandika kupitia mradi hu wa Engisoma 1
0.3%
180 PWC imeleta elimu kwa jamii za kifugaji na kuweza kuwa badilisha jamii za kifugaji kwa kupunguza ukeketaji hivyo wakiendelea hivyo itatokomeza ukeketaji kwa watoto wa kike 1
0.3%
181 PWC imeleta mabadiliko ya maabara, sisi wanafunzi kupata mafunzo mengi 1
0.3%
182 PWC inasaidia kwa shule mabli mbali ambazo wamejiunga nao kwa mfano madawati yametusaidia kama sisi wanafunzi ndoo kuondio za kunaia mikono 1
0.3%
183 PWC wameleta mabadiliko mengi katika shuleni kwety maana maabara, maktaba, vitabu na pia wameleta maji ya kutosha 1
0.3%
184 Sasa hivi tunapata maji ya kutosha, kuna vitabu vya kutosha 1
0.3%
185 Shule kuwa na waalimu wazuri wa kufundisha, Wanafunzi kupata vitab vya kujisomea, Wanafuzi kuelewa na kufaulu mitihani na shule kuwa nawaalimu wa ziada 1
0.3%
186 Sola mwanga wa kujisomea, Vitabu kwaajili ya kusoma, Betri na kutuongezea waalimu 1
0.3%
187 Sola na tunatumia vizuri sana kusoma na wengi 1
0.3%
188 Sola tulipata mwanga wa kusomea, Vitabu tulipata vya kusomea vizuri na kufaulu zaidi 1
0.3%
189 Sola tumepata kwajili ya kusoma na vitabu vingi 1
0.3%
190 Sola, Maabara, Clubs tofauti toauti, maji na maktaba 1
0.3%
191 Sola, Maabara, Maji, Maktaba na Club mbalimbali 1
0.3%
192 Tulikuwa hatuna maji ila leo hii tuna maji kila siku, tunapata elimu juu ya club mabli mbali 1
0.3%
193 Tulikuwa hatuna maji lakini waliweza kuleta, Walileta club mbali mbali, waliweza kuongeza muda wasisi kusoma kupitia solar na kukomesha swala la ukeketaji 1
0.3%
194 Tulikuwa tunapata shida kubwa ya majiambayo sasa hatupati, tumeweza kujua haki zetu na za watoto na kwasasa watoto wanapata haki zao za msingi kama elimu 1
0.3%
195 Tulipata faida ya sola na tulipata faida kubwa sana kupitia vile vitabu 1
0.3%
196 Tulipata mabadiliko kama mabadiliko kwenye ufundishaji yaani kuwapa waalimu mbinu bora za ufuundishaji pia mabadiliko katika mradi wa maji 1
0.3%
197 Tulipata manufaa ya kujisomea wakati wa usiku vizuri tulipoletewa sola na tukapata vitabu vya kujisomea 1
0.3%
198 Tumeendelea vizuri na masomo kwa kutupatia vitabu na vit vinginevyo 1
0.3%
199 Tumepata Taa shuleni, Walimu kujitoa katika ufundishaji, Kujengewa Maabara na Kuletewa baadhi ya vitabu 1
0.3%
200 Tumepata elimu kupata , Kuelimisha jamii zetu za kifugaji , Tumepata malazi 1
0.3%
201 Tumepata faida kwa sola kwasababu tumepata mwanga, tumepata faida kwa vitabu maana tumejua kusoma na tumepata faida kwa mabweni maana tunapumzika 1
0.3%
202 Tumepata faida kwanza maji, pili vitanda vya kulalia maana tusingekuwa na vitanda tungelala wapi na Vitabu kwaajili ya kujisomea 1
0.3%
203 Tumepata faidia ya maji, vitanda na pia tumepata faida kubwa sana kwaajili ya wenzetu waliokuwa hawajui hesabu 1
0.3%
204 Tumepata huduma nyingi sana, tumepata maji safi na salama na haki ya watoto tumejua na tumejifunza kupinga unyanyasaji wa watoto 1
0.3%
205 Tumepata mabadiliko ya maji na tumebadilika, Tumepata mabadiliko kwa mtoto wa kike, Tumepata mabadiliko kwa maendeleo kwa bodi ya shule 1
0.3%
206 Tumepata madawati, tumetambua haki za watoto pamoja na mabweni 1
0.3%
207 Tumepata maji ambayo yanatusaidia katika mazingira, vitabu mbali mbali ambazo zinatusaidia katika kupambambania haki za mtoto 1
0.3%
208 Tumepata maji hivyo tunaishi salama, Tumejua haki za watoto 1
0.3%
209 Tumepata maji imetusaidia kuishi sehemu safi pamoja na kujua hakii za watoto 1
0.3%
210 Tumepata maji kila mara, imetusaidia kulinda haki za mtoto, pia imetusaidia kuboresha elimu baada ya muda wa madarasani 1
0.3%
211 Tumepata maji kupitia pampu za PWC, kuna maabara, na mabweni tunayotumia sasa 1
0.3%
212 Tumepata maji kwa wingi, tumepata vifaa vya michezo kwa wingi, vitabu vya kujisomea kama Civics, Geograph, Kiswahili na Chemistry 1
0.3%
213 Tumepata maji na mazingira salama, Tumejua haki za waotot na tumejengewa bweni 1
0.3%
214 Tumepata maji na tunaishi maisha salama pia tumepunguza magonjwa ya mlipuko na tunajua haki za elimu 1
0.3%
215 Tumepata maji shuleni hivyo tunaishi salama, Tumepata kutambua haki za watoto kama vile kuishi, kulindwa na kuelimishwa 1
0.3%
216 Tumepata maji shuleni hivyo yanatufanya kuwa wasafi, pia tumejua haki za watoto ambapo imefanya kuwa na umakini zaidi 1
0.3%
217 Tumepata maji shuleni na tunaishi shuleni safi, Sola ya umeme wa jua, haki za watoto 1
0.3%
218 Tumepata maji shuleni pia tumapata mafunzo mengi na tunatambua haki za watoto na tunaishi katika mazingira safi 1
0.3%
219 Tumepata maji, Tumetambua haki za watoto 1
0.3%
220 Tumepata maji, Tunatambua haki za watoto na tunaishi kaktika msingi mzuri 1
0.3%
221 Tumepata maji, tumepata faida katika elimu yetu na tumeona mabadiliko mengi kutokana na jamii zetu 1
0.3%
222 Tumepata maji, tumepata haki za watoto na tunaishi salama 1
0.3%
223 Tumepata maji, tumepata vitabu, tumepata sola ili tuweze kujisomea vizuri, waalimu wamepata mafunzo ya kuandaa maandalio 1
0.3%
224 Tumepata maji, vitabu na tumejifunza namna ya kukataa ukeketaji kwa wanawake 1
0.3%
225 Tumepata miradi wa maji, kuwapawaalimu wetu plans, tumejua haki zetu 1
0.3%
226 Tumepata muda mwingi wa kujisomea mfano Remidio imetusaidia kuboresha matokeo, Tumepata maji ya kutosha ambayo yametusaidia kuepukana na magonjwa kama taifodi kwasababu kabla ya kuboresha maji tulikuw 1
0.3%
227 Tumepata sola ya kusomea kila muda, maabara ya kufanyia masomo ya kisayansi na mazao ya kutosha kwenye mashamba 1
0.3%
228 Tumepata solar, Tumepata ushauri kubwa, Tumepata faida ya wanawake kupata elimu na tumepata faida ya kufikisha elimu mbele 1
0.3%
229 Tumepata vitabu vya kusoma ili tufaulu, Tumepata madawati ya kukalia wakati wa kusoma na tumepata sola inayotusaidia wakati wa kusoma 1
0.3%
230 Tumepata vitabu vya kusoma na kujua haki za watoto, kusoma pia tumepata sola light haizimiki tena, faida kwa watoto ambao wazazi wao hawana uwezo 1
0.3%
231 Tumepata vitanda, Waalimu wamapata mafunzo ya kuandaa maandalio, Club zinazohusiana na haki za watoto, Tumepata Solar 1
0.3%
232 Tumepata zaidi ya kupata maji, Kupata vitanda, tumepata vitabu 1
0.3%
233 Tumepatiwa maji, Tumepatiwa Vitabu, Tumepatiwa vifaa mbali mbali 1
0.3%
234 Tumepatiwa maji, Vitabu, walimu wamepatiwa mafunzo ya kuandaa maandalio, Sola na Vitabu 1
0.3%
235 Tumepatiwa vitabu, maji na madarasa 1
0.3%
236 Tumepatiwa vitabu, tumepatiwa vitanda, tumepatiwa sola, club mbali mbali zimeanzishwa zinazohusu hazi za watoto 1
0.3%
237 Tumepatiwa vitanda vya kulalia, Walimu wamepatiwa mafunzo ya kuandaa maandalio, Klabu mbali mbali zainazohusu haki za watoto na Tumepatiwa mradi wa maji 1
0.3%
238 Tumepatiwa vitanda, tumepatiwa solar kwaajili ya kujisomea, tumepatiwa maji na club mbalimali zimeundwa 1
0.3%
239 Tumepewa vitabu kwaajili ya kujisomea, Vitanda kwaajili ya malazi, waalimu wamepata elimu, klabu za haki na pia wameboresha mfumo wa maji 1
0.3%
240 Tumetambua haki za waotot, Tumepatiwa maji hivyo tunaishi mazingira safi 1
0.3%
241 Tumetambua haki za watoto na pia tumepata maji 1
0.3%
242 Tumeweza kufahamu vizuri haki zetu kama watoto, Tumeweza kufahamu kusoma na kuandika kupitia PWC, Tumeweza kupata maji wakati wote 1
0.3%
243 Tumeweza kulala vizuri bila kubanana, tumeweza kusoma vizuri kwa kutumia vitabu tulivyopatiwa 1
0.3%
244 Tumeweza kuoata maji ya kutosha, tunaweza kufanya majadiliano mengi kwenye shule yetu, tumeweza kujua haki za watoto wa kike na watoto kwa ujumla 1
0.3%
245 Tumeweza kupata maji hivyo tunaishi maisha salama, Tumepata madarasa ya kusomea, Tunajua haki za watoto 1
0.3%
246 Tunaishi katika hali salama, Haki za watoto 1
0.3%
247 Tunatambua haki za watoto kama kuendelezwa 1
0.3%
248 Tunatambua haki za watoto, Tumepata maji tunakuwa tunaoga, kunywa na kufuia 1
0.3%
249 Uboreshwaji wa elimu hasa kwa kuwaelimisha watoto wa kike na wale wanaoshi maisha magumu hasa kiuchumi 1
0.3%
250 Uboreshwaji wa maji na mabweni, Kutoa elimu dhidi ya watoto wa kike 1
0.3%
251 Ufaulu 1
0.3%
252 Ukeketaji kupungua kwa kiwango kikubwa, kukomeshwa kwa ndoa za lazima na za utotoni usawa katikka jinsia zote yaani mwanamke na mwanaume katika fursa za elimu 1
0.3%
253 Ukeketaji kwa watoto wa kike 1
0.3%
254 Ukukeketaji umepungua kwa kiasi kikubwa, Kuwapeleka watoto wa kike shule 1
0.3%
255 Umeme, Maabara, Maji na Maktava 1
0.3%
256 Upatikanaji wa maji safi na salama, Wanafunzi kuweza kufauu katika masomo yao 1
0.3%
257 Uwakika wa mai kwaajili ya matumizi binafsi, Uwakika wa kulala kwenye bweni lililo salama pia uwakika wa kujisomea kupitia vitabu kwani kulikuwa na uhaba wa vitabu vya hadith n.k 1
0.3%
258 Uwakika wa maji 1
0.3%
259 Vilabu, Maji, Mafunzo, Vitanda na Remidio Classes 1
0.3%
260 Vitabu tumeoata katika kujisomea, Sola kutumia kama taa, Kuleta vitabu vya kujisomea, kusaidia ambao hawana 1
0.3%
261 Vitabu vinatusaidia kujisomea na kujua English 1
0.3%
262 Vitabu vinatusaidia kwa kujisomea, Solar Light tumepata ya kutosha kwaiyo tunaweza kujisomea 1
0.3%
263 Vitabu vya remedial clases, maji, sola, mafunzo ya mwalimu, kuundwa kwa right club 1
0.3%
264 Vitabu, Kitanda, Mafunzo ya walimu, kuundwa kwa klub, rimidio class solar 1
0.3%
265 Vitabu, Mafunzo ya Ualimu, kuundwa kwa right club, sola, maji na usalama wa watoto 1
0.3%
266 Vitabu, Maji, Mafunzo ya walimu na sola 1
0.3%
267 Vitabu, Maji, Mafunzo, Kuundwa kwa Right Club 1
0.3%
268 Vitabu, Maji, Sola, Mafunzo, Walimu, emedio Classes na Kuundwa kwa Right Club 1
0.3%
269 Vitabu, Maji, Sola, Rimidio Class, Mafunzo ya elimu na kuundwa kwa right club 1
0.3%
270 Vitabu, Maji, mafunzo ya ualimu kwa kamati ya usalama wa mtoto 1
0.3%
271 Vitabu, Remedio, Kutoa mafunzo, Maji na Sola 1
0.3%
272 Vitabu, Sola, Kuundwa kwa club , maji 1
0.3%
273 Vitabu, Sola, Mafunzo ya Walimu, Kuundwa kwa Right Club, Remedio Classes 1
0.3%
274 Vitabu, Sola, Mafunzo ya walimu, muundo wa right club, remidio classes 1
0.3%
275 Vitabu, Sola, Maji 1
0.3%
276 Vitabu, Sola, maji, remidio class, mafunzo ya walimu, kuundwa kwa right club na kutoa mafunzo kwa kamati ya ulinzi na usalama wa mtoto 1
0.3%
277 Vitabu, Vitanda, Maji, Sola, Club na Waalimu wamepatiwa mafunzo 1
0.3%
278 Vitabu, Vitanda, Sola, Walimu kupata mafunzo, Club mbali mbali kuhusu afya na haki za watoto 1
0.3%
279 Vitabu, mafunzo ya walimu, kuundwa kwa right club na remedio class 1
0.3%
280 Vitabu, mafunzo ya walimu, kuundwa kwa right club, remidial class 1
0.3%
281 Vitabu, maji, mafunzo ya mwalimu, kuandaliwa kwa right club 1
0.3%
282 Vitabu, maji, mafunzo ya uwalimu kuundwa kwa club 1
0.3%
283 Vitabu, maji, sola, mafunzo ya mwalimu, remidio class, mafunzo ya right club 1
0.3%
284 Vitabu, maji, sola, mafunzo ya walimu, masomo ya jioni, kuudwa kwa right club 1
0.3%
285 Vitabu, maji, sola, mafuzo ya walimu, right club na remidio 1
0.3%
286 Vitabu, maji, vitanda, mafunzo ya walimu na kuundwa kwa right club , sola 1
0.3%
287 Vitabu, matenk, vitanda na remidio classes 1
0.3%
288 Vitabu, remidio class, naji, mafunzo ya mwalimu, kuundwa kwa club na usalama wa watoto 1
0.3%
289 Vitabu, sola,mafunzo ya walimu, remedial classes, right club, kutoa mafunzo kwa kamati ya ulinzi, maji 1
0.3%
290 Vitabu, vitanda, mafunzo ya waalimu kuundwa kwa right club 1
0.3%
291 Vitanda vimetusaidia kulalia, vitabu vimetusaidia kujisomea, matank yametusaidia kkuhifadhi maji, sola imetusaidia kujisomea wakati wa usiku 1
0.3%
292 Vitanda vimetusaidia kupumzika, vitabu vimetusaidia kujifunza na matenki yametusadia kuweka maji 1
0.3%
293 Vitanda, Mafunzo ya walimu, kuundwa kwa club, remidio class 1
0.3%
294 Vitanda, Maji, Mafunzo ya Waalimu, Rimidio, Vitabu na Sola 1
0.3%
295 Vitanda, Solar, Vitabu, waalimu wamepatiwa mafunzo mbalimbali na maji 1
0.3%
296 Vitanda, maji, sola, vitabu, waalumu wamepatiwa mafunzo na kulinda haki za watoto 1
0.3%
297 Vitanda, sola, na vitabu kutupatia mafundisho 1
0.3%
298 Vitanda, vitabu kwasasa tunasoma kwa bidii, maji, waalimu wamepata mafunzo na uwepo wa club zinazohusu haki za watoto 1
0.3%
299 Viyabu vya kujisomea,Mwanga mzuri wa kujisomea vizuri, haki za watoto na maabara kubwa 1
0.3%
300 Vutabu, Mafunzo ya Walimu, Kuundwa kwa Right Club, Usalama wa mtoto 1
0.3%
301 Waendeleze kuwafunza watu na wanafunzi ili wajue maana ya haki za watoto katika jamii 1
0.3%
302 Walimu wamepatiwa mafunzo ya kuandaq maandalio yao, Club zimeletwa na kufundisha na kueleza haki za watoto, wameboresha kuwa na maji shuleni, Kuboresha vitanda na vitabu shuleni 1
0.3%
303 Walipata vitabu kwaajili ya kujisomea, walipata vitanda., walitupatia na kujenga mradi wa maji, walianzisha club zinazohusiana na haki za watoto 1
0.3%
304 Wametuboreshea maji, wametuboreshea mabweni, kutambua haki za watoto 1
0.3%
305 Wametujengea darasa, tulikuwa tunahitaji darasa, wametuletea vitanda, tumeletewa matank ya maji na sasa maji yanapatikana 1
0.3%
306 Wametuwezesha wanafunzi tuweze kusoma kwa ni wametuletea vitabu, sola, vitanda vya kulalia na wamefanya wanafunzi kujua jamii ya kifugaji na kutuwezesha kujuwa wanyama wanaofugwa na wasio fugwa 1
0.3%
307 Wameweza kutatua kero za aji hapa shuleni, Wameweza kuongeza ufautu wa wanafunzi wengi hapa shuleni, Wamehakikisha haki ya watoto inafuatwa na Wameweza kuboresha uwezo wa wanafunzi kusoma kutokana nao 1
0.3%
308 Wameweza kutuletea vitabu na vitanda, wamjitolea kutufundisha wakati wa korona wametuletea mafunzo na wameleta solar na tunasomea wakati wa prepo 1
0.3%
309 Wameweza kutusaidia kupata maji, Kutambua haki za watoto 1
0.3%
310 Wanafunzi kupata vitabu na kuweza kusoma na kufaulu, matanki ya maji yametusaidia katika mabweni pamoja na kugaiwa madawati yametusaidia katika kusoma na wakati wa mitihani 1
0.3%
311 Wanafunzi wa sasa wanafaulu vizuri na pia wanafunzi shule yetu wanahakikisha usafi kwasababu ya maji 1
0.3%
312 Wanafunzi wameibuka na kuanza kujituma katika elimu kulingana na mchango ulioonyeshwa na PWC kama kuleta vitabu na kuelimisha wanafuzni wasijua kusoma nakuandika 1
0.3%
313 Wanafunzi wapewe elimu ya kijinsia, Kingine watuongezee maabara 1
0.3%
314 Wanafunzi wasiojiweza kusoma kwasababu ya PWCkupitia shule mbali mbali ambazo zinawezeshwa kwa miradi mbali mbali 1
0.3%
315 Wanafunzi wengi wa jinsia ya kike wamepata kusoma, wanafunzi pia kuwa warefu kuliko kawaida 1
0.3%
316 Wanafunzi wengi wameweza kujua kusoma, kuandika na kuhesabu, Maabara, Solar, Magodoro na pia ushauri 1
0.3%
317 Wanafuzni wengine waliweza kusoma na kuandika vizurri na kwa ufasaha 1
0.3%
318 Wanawake wamekuwa kipaumbele, enzi zile ilikuwa hatambuliki lakini PWC walivyokuja sasawamekuwa na kipaumbele 1
0.3%
319 Watoto wa kike kupata elimu, Kutetea haki za watoto na kuacha ukatili wa kijinsia 1
0.3%
320 Watoto wa kike wameweza kupewa nafasi ya kusikilizwa 1
0.3%
321 Watoto wa kike wanalindwa na kusikilizwa 1
0.3%
322 Watoto wa kike wapate elimu, Ujenzi wa maabara, vitabu tofauti tofaut, Vitabu vya masomo yote tumepata 1
0.3%
323 Watoto wamepewa kipaumbele katika kupewa elimu na kusikilizwa katika maoni mbalimbali watakayo toa 1
0.3%
324 Watoto wanafaulu kwa kiwango kikubwa, Hakuna tena ukatili ama uonevu ndani ya shule ya walimu na wanafunzi 1
0.3%
325 Watoto wengi wa kike wamebahatika kuapata elimu kwa wengi na kuendeleza maisha yao 1
0.3%
326 baada ya PWC kutekeleza mradi wa engisoma shle hii kutuletea maji kwa muda mrefu tulikosa maji, vitabu vya kusoma na pia kutuletea viti na meza za kukalia na mabweni kutoongeza vitanda mabadiliko maku 1
0.3%
327 kama matank ya maji yalitusaidia sana maana mwanzoni tulikuwa tunateseka wabababu hatukuwa na maji na pia vitanda vilitusaidia kwasababu mwanzoni wanafunzi walikuwa wanalala chini 1
0.3%
328 kuendeleza maendeleo ya sule, vitabu vinatusaidia kuongeza maisha, maabara kwasababu ya kujisomea 1
0.3%
329 kujua kusoma kwa kutumia vitabu, matenki ya maji kutusaidia maji wakati wa ukame, vitanda kutusaidia kulala bila kujibana maana tulikuwa na vitanda vichache, madarasa na vitini 1
0.3%
330 kukuza uelewa wa mwanafunzi kwa kuleta vitabu, madawati yanasaidia kukaa kwenye viti na kuacha kukaa chini, sola kutuwezesha wakati wa usiku kusoma, matanki ya maji kupata sehemu ya kuweka maji 1
0.3%
331 kuwezesha wanafunzi kusoma na uwepo wa vitu vinavyotusaidia kufaulu na kutusaidia katika familia duni zilizokuwa hazijaimarika 1
0.3%
332 kwa mabadiliko ambayo nimeyaona wametusaidia madarasa, matenki ya maji, vitabu hapa kwenye vitabu vimetusaidia sana katika masomo yetu hapa shuleni, cha mwisho tunasema asante PWC kwa kutusaidia 1
0.3%
333 kwamba wanafunzi wote ni sawa, tuna haki sawa 1
0.3%
334 mabadiliko makubwa kwanza wanafuzni tumepata madaati, vitanda, vimetusaidia vitabu kusoma na vitanda kupumzika na hata matenki ya maji ya kunawa mikono wakati wa ugonjwa wa korona na kujua haki zetu 1
0.3%
335 mabadiliko mazuri mfano solar kwasasa tunasoma, viti, mabadiliko mazuri ya maji na vitabu na vitanda 1
0.3%
336 mabadiliko niliyoyaona baada ya PWC kutekeleza mradi wa Engisoma kwenye shule hii sisi kama wanafunzi tumeweza kujua haki za mtoto wa kike, tumepata mafunzo mbalimbali, club za masomo, vitabu, taa, ma 1
0.3%
337 mabadiliko ya kusoma, maji, mabweni na mabadiliko ya club za afya na haki 1
0.3%
338 madawati - kukaa pamoja a kuweza kusoma vizuri, matenk ya maji, vitabu vimetusaidia kusoma kwa amani bila shida, solar tunasoma kwa amani 1
0.3%
339 maendeleo ya shule katika miundombinu na kupunguza kuteseka kwa watoto mfano madawati, vitabu, matenki ya maji, vitanda pia ametusaidia kwa mradi wa kujifunzia K.K.K (Kusoma, Kuandika na Kuhesabu) 1
0.3%
340 matenki ya maji yametusaidia kuhifadhi maji ya akiba, sola imetusaidia wakati wa usiku kujisomea, vitanda vimetusaidia kupata mahali pa kulala, vitabu vimetusaidia kusoma na kujua vitu 1
0.3%
341 mradi wa maji uliotuepusha kuwa wachafu, kupatikana kwa vitabu vya kusomea kitu kilichoongeza ufaulu wa wanafunzi, vitanda vimesaidia watoto kutokulala chini na kutobanana kwenye vitanda 1
0.3%
342 ninavyoona maji yametusaidia katika maisha yetu, endapo tungekuwa hatuna maji tungeishiwa na nguvu na vitanda vimetusaidia kila mwanafunzi kulala vizuri akiwa mwenyewe 1
0.3%
343 tumepata maji na vitabu vya kujisomea 1
0.3%
344 tumesaidiwa kwa kuletewa vitabu tunasoma na madawati tunatumia kukalia na hatukai chini, matenki ya maji kuwekea maji, vitanda hatulali kwa kubanana tunalala kwa kujinafasi 1
0.3%
345 tumeshukuru kwa kutuletea vitabu vya kusoma na kutuletea sola kwasasa tuna kuja prepo tunashukuru kwa kutuletea matank ya maji tunapata maji safi na salama na tumepata meza na viti 1
0.3%
346 vitabu vimetusaidia kusoma na kuandika, tenki limetusaidia kuhifadhi maji masafi na salama na vitanda vimetusaidia kulala salama 1
0.3%
347 wameleta mabadiliko mengi sana hapa shuleni, wametuletea vitabu tunasoma kwasasa bila shida yoyote, wametuletea vitanda na tunalala kwasasa bila kubanana, wametuletea maji 1
0.3%
348 wametuelimisha kuhusu haki za watoto wakike na pia wametusaidia katika kutuletea madawati na viti na meza, wametuboreseha maji maana wasingetuletea mradi wa maji tungepata shika kwa maji ya kufulia 1
0.3%
349 wametusaidia katika masomo yetu ambapo wametupa vitabu vilivyotusaidia kusoma, solar, vitanda vimetusaidia kulala bila kubanana na madawati na mpaka sasa wanatusaidia na kutuelimisha 1
0.3%
350 wanafunzi wamekuwa na furaha kwasababu wamepata mwanga wa kusoma wakati wa usiku, wamepata maji ya kutosha sio kama mwanzo na pia wanakaa kwa uhuru kwasababu ya viti kama jamii tunawashukuru 1
0.3%
Sysmiss 1
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
RELI Microdata

© RELI Microdata, All Rights Reserved.