Site Logo
Microdata Portal
  • Datasets
  • Home
  • Catalog
  • Citations
  • RELI SKY
  • Collections
  • About
  • FAQs
  • Contact us
  • Login
    Login
APHRC Logo
    Home / Central Data Catalog / PWC02 / variable [F4]
central

Engisoma

Tanzania, 2022
Get Microdata
Reference ID
PWC02
Producer(s)
Pastoral Women Council
Metadata
DDI/XML JSON
Study website
Created on
Feb 20, 2024
Last modified
Feb 20, 2024
Page views
24373
Downloads
228
  • Study Description
  • Data Description
  • Downloads
  • Data files
  • Engisoma_2_baseline
  • Engisoma_community
  • Engisoma_Evaluation_STUDENT

Je, ni yapi majukumu na wajibu wa umoja wa wazazi na waalimu katika kuboresha ub (FP05)

Data file: Engisoma_Evaluation_STUDENT

Overview

Valid: 354
Invalid: 8
Type: Discrete
Decimal: 0
Width: 3
Range: 1 - 336
Format: Numeric

Questions and instructions

Literal question
Je, ni yapi majukumu na wajibu wa umoja wa wazazi na waalimu katika kuboresha
Categories
Value Category Cases
1 Anafuatilia matokeo yangu ya shule, Kunipa haki ya kusoma pamoja na kunipeleka shule 1
0.3%
2 Anataka kuelewa na kufaulu vizuri katika mithiani , wazazi wanataka maendeleo mazuri 1
0.3%
3 Baba ananiambia na ukienda shule kusoma ujitahidi 1
0.3%
4 Baba yangu nanitumia kila siku, Mama ynagu anipa kila kitu na Mwalimu ananifundisha kila siku 1
0.3%
5 Heshima na kusoma 1
0.3%
6 Hutoa michango ambayo inapelekea maendeleo ya shule 1
0.3%
7 Ili tuweze kuboresha ubora, nidhamu na kitaaluma iwepo 1
0.3%
8 Kuakikisha kila mwanafunzi anafaulu , Kufuatilia matokeo 1
0.3%
9 Kuaninisha changamoto za wanafunzi wanazokutana nazi na kufanya ufumbuzi 1
0.3%
10 Kuboresha elimu kwa wanafunzi na Kuboresha maendeleo ya shule 1
0.3%
11 Kuboresha na kutekeleza kufaulu 1
0.3%
12 Kuboresha taaluma 1
0.3%
13 Kuboresha taaluma kwa wanafunzi 1
0.3%
14 Kuboresha ubora 1
0.3%
15 Kuboreshwa kwa miundombinu na madarasa 1
0.3%
16 Kuelimisha wanafunzi, Kuwapa elimu, Kulea familia na Kulinda haki za watoto 1
0.3%
17 Kuendeleza miundombinu na ushirikiano katika mikakati ya shule 1
0.3%
18 Kufanya bidii katika masomo yangu na kuacha kucheza shuleni 1
0.3%
19 Kufanya majaribio, kufanya kazi kwa makundi, kufuatilia matokeo na nidhamu ya mtoto 1
0.3%
20 Kufanya vikao mbali mbali na kujadili maendeleo ya shule 1
0.3%
21 Kufaulu masomo na kuwa na nidhamu 1
0.3%
22 Kufaulu masomo na nidhamu 1
0.3%
23 Kufaulu, Kuboresha malezi na ubora katika jamii 1
0.3%
24 Kufuata maendeleo, Kununua nguo za shule na kufundisha kwa upande wa mwalimu 1
0.3%
25 Kufuatili maendeleo, kuhakikisha nimeelewa na kufaulu vizuri darasani, Kuhakikisha nimetunza, nimekula vizuri na kununuliwa vitu vyangu vya shule 1
0.3%
26 Kufuatilia aaluma ya mwanafunzi mashuleni na kutushauri , Kutupatia elimu ya kijinsia 1
0.3%
27 Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi 1
0.3%
28 Kufuatilia maendeleo katika taaluma, kunifuatilia katika kufundisha, kufuatilia maendeleo ya shule, kujali afya ya mtoto 1
0.3%
29 Kufuatilia maendeleo na kulipia ada 1
0.3%
30 Kufuatilia maendeleo taaluma, Kufundisha 1
0.3%
31 Kufuatilia maendeleo ya kimasomo, Kufundisha tabia nnzuri nyumbani na Kunielekeza kwa yote ambayo sjayaelewa 1
0.3%
32 Kufuatilia maendeleo ya kitaaluma katika maendeleo 1
0.3%
33 Kufuatilia maendeleo ya kitaaluma na mikutano ya shule 1
0.3%
34 Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi 2
0.6%
35 Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi kitaaluma 1
0.3%
36 Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, Kuwasiliana na mwalimu na Kukutana kwaajili ya mazungumzo 1
0.3%
37 Kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi, kuhakikisha mtoto anasoma na unamtimizia mahitaji yake, kuhakikisha naenda shuleni 1
0.3%
38 Kufuatilia maendeleo ya mwanafuunzi 1
0.3%
39 Kufuatilia maendeleo ya shule, Taaluma kulipia pesa ya ujenzi wa shule 1
0.3%
40 Kufuatilia maendeleo ya shule, kushiriki katika ujenzi na kuhamasisha jamii 1
0.3%
41 Kufuatilia maendeleo ya taalimu 1
0.3%
42 Kufuatilia maendeleo ya taaluma 4
1.1%
43 Kufuatilia maendeleo ya taaluma kwa wanafunzi 1
0.3%
44 Kufuatilia maendeleo ya taaluma kwa wanafunzi wakiti wa shuleni 1
0.3%
45 Kufuatilia maendeleo ya taaluma shuleni, kupewa ushauri kuepuka vishawishi vya mtaani, kupewa ela ya shule ili tusipate tamaa 1
0.3%
46 Kufuatilia maendeleo ya taaluma ya mwanafunzi, kufundisha kwa kutumia group discussion 1
0.3%
47 Kufuatilia maendeleo ya taaluma ya shule 1
0.3%
48 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, Kulipa michango inayojitokeza mashuleni 1
0.3%
49 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, Kunipa haki za kusoma na kufundishwa maada/ masomo yote 1
0.3%
50 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, Kusimamia nidhamu ya mwanafunzi na Kujua mahitaji ya mwanafunzi kitaaluma 1
0.3%
51 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, Mikutano ya shule 2
0.6%
52 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, Mikutano ya shule na Mwalimu kufundisha ili niweze kufaulu 1
0.3%
53 Kufuatilia maendeleo ya taaluma, kulipia ada 1
0.3%
54 Kufuatilia maendeleo ya watoto 1
0.3%
55 Kufuatilia maendeleo yangu shuleni, Kufuatilia maendeleo ya famili 1
0.3%
56 Kufuatilia maendeleo yangu, Kunipa hela pamoja na mahitaji yangu na kwa upande wa mwalimu kusoma na kutoa matokeo 1
0.3%
57 Kufuatilia maendeleo yanngu ya taaluma 1
0.3%
58 Kufuatilia matokeo 7
1.9%
59 Kufuatilia matokeo na mahudhurio 1
0.3%
60 Kufuatilia matokeo na pia kulipa ada 1
0.3%
61 Kufuatilia matokeo na ubira wa mtoto 1
0.3%
62 Kufuatilia matokeo ya mwanafunzi na wazazi kuguswa kuwashauri walimu 1
0.3%
63 Kufuatilia matokeo ya wanafunzi, Michango 1
0.3%
64 Kufuatilia matokeo ya watoto, Kuhudhuria watoto wakiwa mashulni 1
0.3%
65 Kufuatilia matokeo yangu, Kuhakikisha nasoma kwa bdii, Kunitimizia mahitaji yangu ya shule mfano kalamu ngu na nk, Kuniadhibu pale ninapokosea na Kunipa hela ya matumizi 1
0.3%
66 Kufuatilia matokeo, Kufundishwa na kuwakikisha wanaendelea 1
0.3%
67 Kufuatilia matokeo, Kufundishwa na mwalimu na kulipa michango inayojitokeza shuleni 1
0.3%
68 Kufuatilia matokeo, Kufundishwa na waalimu na Kulipa ada 1
0.3%
69 Kufuatilia matokeo, Kulipa ada 1
0.3%
70 Kufuatilia matokeo, Kushiriki wakati ninapoulizwa na ninaposjibu swali/maswali 1
0.3%
71 Kufuatilia matokeo, Kutoa michango 1
0.3%
72 Kufuatilia matokeo, Kuwasiliana namahudhurio ya mwanafunzi pia kujua maendeleo yake 1
0.3%
73 Kufuatilia matokeo, kuandikisha na kufuatilia mahitaji ya mtoto 1
0.3%
74 Kufuatilia taaluma 1
0.3%
75 Kufuatilia ufaulu wawanagunzi shuleni 1
0.3%
76 Kufuatilia vifaa vya shule, Kufundishwa vizuri na kuwepo na haki 1
0.3%
77 Kufuatilia watoto katika maendeleo ya kitaaluma 1
0.3%
78 Kufuatiliwa matokeo, Kufundishwa 1
0.3%
79 Kufundisha 1
0.3%
80 Kufundisha na kuingia mkutano mara kwa mara 1
0.3%
81 Kufundisha na kutoa matokeo kwa upande wa waalimu,, kufuatilia na kununua nguo za shule kwa upande wa waalimu 1
0.3%
82 Kufundisha vizuri darasani, kushirikisha katika masomo 1
0.3%
83 Kufundisha vizuri, Wanafunzi kusoma kwa bidii na Wazazi kufuatilia maendeleo 1
0.3%
84 Kufundisha, Kupata elimu, malazi na kuwa na nidhamu 1
0.3%
85 Kufundisha, kuelimisha, kutoa elimu ya kijinsia na kutupatia matumizi 1
0.3%
86 Kufundisha, kunifuatilia kitaaluma, kuhakiksha nafaulu, kuhakikisha naenda shule, kuhakikisha ananipa mahitaji yote 1
0.3%
87 Kufundisha, kushauri, kutulea, Kutoa mahitaji na Kulipa ada 1
0.3%
88 Kufundisha, kutoa mafunzo mbali mbali, kuhakikisha kuwa ananifundisha na kuelewa na kuhakikisha kuwa napata malezi mazuri 1
0.3%
89 Kufundisha, kutoa mazoezi kila baada ya kumaliza topic, kujua maendeleo ya mwanafunzi shuleni, jukumu la kunipa mahitaji ya muhimu 1
0.3%
90 Kufundisha, kutuatilia kwa hakika ya kwamba wanafunzi wanahudhuria masomo 1
0.3%
91 Kufundishwa, kulelewa, kuelimishwa na kupewa hela 1
0.3%
92 Kuhakikisha elimu inaboresha na kuhakikisha mahudhurio ya wanafunzi 1
0.3%
93 Kuhakikisha elimu ya wanafunzi, Kuhakikisha mahudhurio ya wanafunzi 1
0.3%
94 Kuhakikisha kuwa amefaulu na kujua maendeleo 1
0.3%
95 Kuhakikisha kuwa mtoto wake anapata mahitaji, kuhakikisha mtoto anafaulu darasani 1
0.3%
96 Kuhakikisha kuwa mwanafunzi anamahitaji yote, Kufuatilia maendeleo ya taaluma na kuhudhuria vikao vya shule 1
0.3%
97 Kuhakikisha kuwa wanafuatilia maendeleo ya shule, mahuduhurio ya wanafuzni, kunifundisha darasani na kuhakikisha naelewa 1
0.3%
98 Kuhakikisha maendeleo mazuri ya kitaaluma na kinidhamu, Kushiriki katika kutunza miundombinu muhimu ya shule kama madarasa 1
0.3%
99 Kuhakikisha mahudhurio mazuri shuleni, kuhakikisha wanafunzi wanafaulu vizurii katika masomo 1
0.3%
100 Kuhakikisha mahudhurio mazuri ya mtotot pia maendeleo mazuri ya mtoto shuleni kila mtihani na majaribio 1
0.3%
101 Kuhakikisha mahudhurio, kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi na wazazi kuchangia michango ya shule 1
0.3%
102 Kuhakikisha na kufuatilia taaluma za wanafunzi, kutoa michango ndusu ndusu kwaajili ya kuboresha shule 1
0.3%
103 Kuhakikisha nimeelewa vipi darasani, kuhakikisha nimefanya maswali, kuhakikisha maendeleo yangu shuleni, kuhakikisha napata mahitaji yangu yale yote ya msingi 1
0.3%
104 Kuhakikisha taaluma inaboreshwa, kuhakikisha ufaulu na mahudhurio mazuri kwa wanafunzi 1
0.3%
105 Kuhakikisha tunapata mahitaji ili tusome vizuri, kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi na kuhakikisha mahudhurio ya mwanafunzi shuleni 1
0.3%
106 Kuhakikisha tunapata malezi na elimu 1
0.3%
107 Kuhakikisha wanafuatilia maendeleo ya taaluma Pia wahamasishe jamii 1
0.3%
108 Kuhakikisha watoto kupata elimu 1
0.3%
109 Kuhakikishwa taaluma inaboreshwa, wazazi kuchangia michango ya shule na kuhakikisha wanafunzi wanafaulu vizuri 1
0.3%
110 Kuhamasisha wanafunzi kusoma na kuwapa zawadi 1
0.3%
111 Kuhimiza kufuatilia matokeo ya taaluma na nidhamu ya wanafunzi wakati anapokuwa shuleni na nyumbani 1
0.3%
112 Kuhimiza mahudhurio shuleni, kutusaidia katika ufaulu 1
0.3%
113 Kuhimiza watoto kuhusu umuhimu wa elimu 1
0.3%
114 Kuhudhuria vipindi darasani, kusoma kwa bidii na kumsikiliza mwalimu kwa umakini 1
0.3%
115 Kujifunza kutokana na makosa, kutumia vitabu vya aina mbali mbali kwa kusoma 1
0.3%
116 Kujitahidi katika masomo 1
0.3%
117 Kujitoa katika baadhi ya michango unayo saidia katika usomaji 1
0.3%
118 Kukuelekeza, kunielewesha zaidi, kUNIPATIA MAHITAJI YOTE YA SHULE NA KUNNILIPIA ADA YA SHULE 1
0.3%
119 Kukupa vitu vyote na kushirikiana na mwalimu katika maendeleo 1
0.3%
120 Kukutana na waalimu, kufuatilia matokeo 1
0.3%
121 Kulinda, Kufundishwa, Kuamasisha,Matokeo, Kuishi na Kufundishwa mada zote 1
0.3%
122 Kulipa ada na kufuatilia maendeleo 1
0.3%
123 Kumpatia mtoto mahitaji wewe mzazi, wewe mwalimu kunifundisha mwanafunzi 1
0.3%
124 Kunifatilia vifaa vyote vya kujifunzia, Kjadili kupitia vikundi 1
0.3%
125 Kunifuatilia masomo yangu nikiwa shuleni, kunifundisha, kuninunulia vifaa vya shule 1
0.3%
126 Kunifundisha 1
0.3%
127 Kunifundisha na kuelewa, kuniwasilisha shuleni, kunifuatilia katika masomo shuleni, kunielewesha katika vipindi darasani 1
0.3%
128 Kunifundisha vizuri, kunipa ushauri mzuri, 1
0.3%
129 Kunihudumia kwenye majukumu ya shule, Kulipa ada ya shule na kuninunulia nguo za shule na mwalimu kunifundisha na kusimamia matokeo 1
0.3%
130 Kunilipia ada, kuninunulia sare za shule, kufuatilia matokeoa yangu ya kitaaluma kwa upande wa mzazi na kwa upande wa mwalimu ni Kunilinda, Kunisikiliza na Kunifundisha 1
0.3%
131 Kuninunulia nguo za shile, Kunisomesha na kwa mwalimu ni kunifundisha na kufuatilia matokeo 1
0.3%
132 Kuninunulia sare za shule, Kulipa ada na kwa mwalimu kufundisha na kunisimamia matokeo yangu 1
0.3%
133 Kuninunulia sare za shule, Kunilipia ada, Kunifundisha na kunitaarifu matokeo 1
0.3%
134 Kuninunulia unifomu, kunifuatilia kimasoma yangu, kunifundisha na kunielekeza 1
0.3%
135 Kunipa malezi, Kuhudhuria masomo darasani na kupata elimu 1
0.3%
136 Kunipa matokeo au mtihani mwisho wa mwezi, Kunilea 1
0.3%
137 Kunipa sare za shule na pocket money 1
0.3%
138 Kunishauri, Walimu kunipa maswali mengi ya kujifunza 1
0.3%
139 Kununua vitabu, nguo za shule na kununua chakula 1
0.3%
140 Kuongeza bidii katika masomo 1
0.3%
141 Kupatiwa ulinzi bora 1
0.3%
142 Kupewa mahitaji muhimu uwapo shuleni, Wazazi kufuatilia mienendo ya wanafuniz na matokeo yao na Waalimu kujitoa muda wao binafsi wa kufundisha 1
0.3%
143 Kupitia mahitaji ya shule, Walimu kujitoa kwaajili ya kutufundisha 1
0.3%
144 Kuroa ushauri, kufuatilia maendeleo ya taaluma 1
0.3%
145 Kusaidia maendeleo ya shule ya ukaribu ya madara 1
0.3%
146 Kushauriwa 1
0.3%
147 Kushauriwa kwa kusoma 1
0.3%
148 Kushauriwa na Kutiwa moyo 1
0.3%
149 Kushiriki katika maswali, Kutupatia Report form kwa kila muhula 1
0.3%
150 Kushiriki wazazi pamoja na waalimu, wazazi kuchangia fedha za shule kuakikisha waalimu wanafuatilia ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
151 Kushirikiana katika kuangalia taaluma ya mwanafunzi 1
0.3%
152 Kushirikiana katika mikutano na kufuata maendeleo ya taaluma 1
0.3%
153 Kushirikiana kwa pamoja katika ufaulu wa watoto shuleni 1
0.3%
154 Kushirikiana kwa wazazi na waalimu , Kuhakikisha mahudhurio mazuri shuleni na kutoa michango ya shule 1
0.3%
155 Kushirikiana kwa wazazi na waalimu katika maendeleo ya shule, Wazazi kuchangia michango ya shule na Kuhakikisha wanafunzi wanadaulu vizuri 1
0.3%
156 Kushirikiana kwa wazazi na waalimu, kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
157 Kushirikiana kwa wazazi na waalimu, wazazi kuchangia michango ya shule na kuhakikisha ufaulu wa shule 1
0.3%
158 Kushirikiana kwenye shughuli ya utoaji wa elimu kwa watoto 1
0.3%
159 Kushirikiana nawazazi 1
0.3%
160 Kushirikiana walimu na wazazi kwa kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
161 Kushirikiana wazazi na waalimu, Kufuatilia maendeleo ya taaluma na Kufuatilia maendeleo ya shule 1
0.3%
162 Kusimamia haki muhimu kwa mtoto, Kupata haki za watoto kama mavazi, chakula na malazi 1
0.3%
163 Kusimamia maendeleo ya shule, Kusimamia taaluma ya wanafunzi 1
0.3%
164 Kusimamia maswala ya kitaaluma ndani ya shule 1
0.3%
165 Kusimamia nidhamu ya mwanafunzi, kufuatilia taaluma ya wanafunzi shuleni 1
0.3%
166 Kusimamia ubora wa shule na ubora wa elimu 1
0.3%
167 Kusoma 2
0.6%
168 Kusoma kwa bidii 6
1.7%
169 Kusoma kwa bidii na kuwa makini darasani 1
0.3%
170 Kusoma kwa bidii, Kuepuka magroup mabaya 1
0.3%
171 Kusoma kwa bidii, Kujitahidi katika masomo 1
0.3%
172 Kusoma kwa bidii, Kurudia mitihani iliyopita ama ya vidato vingine 1
0.3%
173 Kusoma kwa bidii, kuwasikiliza walimu na tuende na muda 1
0.3%
174 Kusoma na kufaulu vizuri 1
0.3%
175 Kusoma na kuheshimiwa kwa wakubwa na wadogo 1
0.3%
176 Kusoma na usiguse kitu chochote bila ruhusa 1
0.3%
177 Kusoma, Kuwa na hesima na kuwasaidia wengine 1
0.3%
178 Kusoma, Tuwaheshimu waalimu 1
0.3%
179 Kusoma, ushauri na kuelimisha 1
0.3%
180 Kutekeleza mahitaji ya wmanafunzi, Kushauri mambo mazuri ya kufanya na kufundisha 1
0.3%
181 Kutekeleza mahitaji, kunipatia hela ya matumizi, kumpatia elimu, kusoma kwa bidii, kuongeza bidii na kunifundisha 1
0.3%
182 Kutekeleza wajibu wa watoto 1
0.3%
183 Kutoa mahitaji muhimu kwa wanafunzi kama vile vitabu, nguo na mengineyo 1
0.3%
184 Kutoa michango mbali mbali 1
0.3%
185 Kutoa michango mbali mbali , Mahudhurio shuleni, wanahamashisha jamii 1
0.3%
186 Kutoa michango na kuhamasisha katika mambo ya taaluma 1
0.3%
187 Kutoa michango ya shule 1
0.3%
188 Kutoa michango, Kuhamasisha jamii na kusaidia kufaulu 1
0.3%
189 Kutoa ushauri kwa wanafunzo, Kuongeza vitabu na Kulipa michango 1
0.3%
190 Kutuelekeza uathari wa kutopata elimu, Kutueleza athari za mimba na ajira za utotoni 1
0.3%
191 Kutufundisha, kutuelimisha na kutuelekeza vitu ambavyo hatujui, kututimizia mahitaji ya shule na kufuatilia matokeo yangu ya shule 1
0.3%
192 Kutuleta shule na walimu kutufundisha 1
0.3%
193 Kutupatia elimu, kutupatia hla ya chips, kutufunza maadili, kufundisha na kuelewa, kutupa malezi na kutupa ada 1
0.3%
194 Kutusisitiza tusome kwa bidii, Waalimu kutufundisha kwa umakini wa juu kwa kutumia mifano kuuliza maswali na kuyajibu 1
0.3%
195 Kutuwezesha kufuatilia changamoto ziazowakumba wanafunzi katika ufaulu wao 1
0.3%
196 Kutuwezesha kupata mahitaji muhimu kama vifaa vya kusomea mfano madaftari 1
0.3%
197 Kuwa mvumilivu, Kutii waalimu pia kusoma kwa bidii 1
0.3%
198 Kuwa na heshima, kuwaheshimu waalimu, kusoma na kufuata sheria za shule 1
0.3%
199 Kuwa na masomo ya ziada na kuhakikihs akuwa wanafunzi wanavifaa vya masomo 1
0.3%
200 Kuwahamashisha wanafunzi kusoma, Kutoa ushauri kwa wanafunzi na kutumia vitabu vya ziada 1
0.3%
201 Kuwahamasisha wamafunzi katika masomo 1
0.3%
202 Kuwalea watoto vizuri, Kuwapa elimu inayostahili na kuwapa malezi bora 1
0.3%
203 Kuwapa watoto elimu yao inayostahili katika maisha 1
0.3%
204 Kuwapeleka watoto shule, Wanatoa michango 1
0.3%
205 Kuwashauri kusoma kwa bidii na kutekeleza malengo yake 1
0.3%
206 Kuwashauri waalimu kufundisha wanafunzi sana na kuwafuatilia 1
0.3%
207 Kuwasikiliza waalimu na wanatuelimisha tusome kwa bidii 1
0.3%
208 Kuwasiliana na kuangalia matokeo 1
0.3%
209 Kuwasiliana na mwalimu ili kuboresha taaluma, Kuleta mahitaji wanayohitaji wanafunzi 1
0.3%
210 Kuwasiliana na mwalimu na kupata taarifa juu ya watoto wao 1
0.3%
211 Kuwasiliana na walimu kuhusu maendeleo ya ufaulu 1
0.3%
212 Kwa kushirikiana waalimu pamoja na wazazi, Kuhakikisha mahudhurio mazuri na Kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
213 Kwa kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi ya taaluma, Kusadia mbnu mbali mbali za kuendeleza taaluma 1
0.3%
214 Kwa kufuatilia maendeleo ya wanafunzi kwa kuboresha miundominu ya shule 1
0.3%
215 Kwa kunipa elimu na kunishirikisha katika kusoma 1
0.3%
216 Kwa kununua vitabu vyao kama jipime, walimu kuwafundisha 1
0.3%
217 Kwa kushirikiana kwenye ujenzi wa vyoo na madarasa 1
0.3%
218 Kwa kutoa michango shuleni na kutuhimarisha katika kufaulu 1
0.3%
219 Kwa mzazi kulipa ada na kuninunulia nguo za shule na kwa mwalimu kunifundisha na kunisimamia kwenye matokeo 1
0.3%
220 Kwa mzazi kununua sare za shule, kunihudumia mahitaji yote na kuhudhuria vikao vyote vya shule na Kwa mwalimu ni kunifundisha na kunisaidia kukua 1
0.3%
221 Kwa mzazi ni Kufuatilia maendeleo ya kiaaluma, Kuniandikisha na kwa upande wa mwalimu kunifundisha 1
0.3%
222 Kwa upande wa mzazi kufuatilia matokeo yangu na kuninunulia nguo za shule, na kwa upande wa mwalimu kufundisha na kutoa matokeo ya mwanafunzi 1
0.3%
223 Kwa upande wa mzazzi kufuatilia maendeleo na kuhudhuria mikutani na kwa upande wa mwalimu ni kuandikishwa 1
0.3%
224 Kwa upandwa wa mzazi kufuatilia matokeo/maendeleo na kunipatia mahitaji yangu ya muhimu na kwa upande wa mwalimu kunifundisha na kunipa matokeo 1
0.3%
225 Kwamba wanapaswa wazazi kwa kushauriniana na wazazi kuhusu elimu 1
0.3%
226 Kwenda twisheni mbali mbali kujisomea 1
0.3%
227 Mahudhurio shuleni na wanahamasisha jamii 1
0.3%
228 Mahudhurio shuleni, Kuhamasisha 1
0.3%
229 Mahudhurio shuleni, Kuhamasisha katika kufaulu 1
0.3%
230 Mahudhurio shuleni, Kuhamasisha wanafunzi na kuhamasisha jamii 1
0.3%
231 Mahudhurio ya shule, kufaulu, Maendeleo ya Taaluma 1
0.3%
232 Mahudhurio ya wanafunzi na kuhakikisha wanafaulu, Ushirikiano wa wazazi na waalimu 1
0.3%
233 Mahudhurio ya wanafunzi shuleni na kuhakikisha wanafunzi wako vizuri 1
0.3%
234 Majukumu ya mwalimu ni kufundisha darasani, Mzazi kutushauri katika maisha 1
0.3%
235 Majukumu ya mzazi ni kumlea mtoto kwa malezi bora na mwalimu kutengeneza makundi ya kujisomea 1
0.3%
236 Majukumu ya mzazi ni kuniletta shule kunihudumia vifaa vya vyote na mwalimu ni kunifundisha kunielekeza, kuakikisha kuwa naelewa kwa makini 1
0.3%
237 Majukumu ya wazazi ni kufuatili maendeleo yangu shuleni, kulipa ada na kununua sare za shule; Majukumu ya mwalimu ni kufundisha na kufuatilia maendeleo yangu ya kitaaluma 1
0.3%
238 Majukumu ya wazazi ni kufuatilia maendeleoo ya mwanafunzi 1
0.3%
239 Mchango wa shule, Mahudhurio shuleni, wanahamasisha mambo ya taaluma 1
0.3%
240 Mchango, Mahudhurio shuleni, Wanatusaidia katika kufaulu 1
0.3%
241 Mhudhurio, Michango na kuhimiza kusoma 1
0.3%
242 Michango katika ujenzi wa shule, Kuhamashisha jamii katika mambo ya taaluma 1
0.3%
243 Michango ya shule na kuwahimiza katika kufaulu 1
0.3%
244 Mikutano ili kuwapa walimu wa masomo maendeleo ya wanafunzi 1
0.3%
245 Mikutano na michango ili watoto waendelee na masomo 1
0.3%
246 Mikutano ya kijumla 1
0.3%
247 Mikutano ya shule Kujadiliana baina ya wazazi na waalimu 1
0.3%
248 Mikutano ya shule kwa waalimu na wazazi 1
0.3%
249 Mikutano ya shule na kufuatilia maendeleo ya watoto 1
0.3%
250 Mikutano ya shule, Maendeleo ya taaluma na kukatiza mimba za utotoni 1
0.3%
251 Mikutano ya shule, kufaulu na kuhakikisha kwamba mahudhurio ya wanafunzi 1
0.3%
252 Mikutano ya shule, maendeleo ya shule, kufuatilia maendeleo ya taaluma 1
0.3%
253 Mikutano ya wazazi na waalimu, mzazi kufuatilia matokeo ya mwanafunzi 1
0.3%
254 Mitihani kufaulu 1
0.3%
255 Mjukumu ya wazzi kulea watoto kwa kuwapatia malezi mafano ela ya kujikimuya mwalimu kufundisha kwa kufatilia kama unasoma kwa bidii 1
0.3%
256 Mkutano wa shule, Kufuatilia maendeleo ya taaluma 1
0.3%
257 Mwalimu kazi yake ni kufundisha na kuelewesha, Mzazi kazi yake ni kuonipenda na kunisomesha 1
0.3%
258 Mwanafunzi kufaulu 1
0.3%
259 Mwanafunzi lazima afikishe wastani wa 50, Wazizi washirikishwa namna mwanafunzi alivyofaulu 1
0.3%
260 Mzazi kuhakikisha mahitaji ya mtoto yanakamilika na kufuatilia maendeleo ya wanafunzi 1
0.3%
261 Mzazi kuongeza ufuatiliaji wa karibu kwa mwanae na mwalimu pia, kuuliza na kuuliza mambo mbali mbali ya mwanafunzi 1
0.3%
262 Mzazi ufuatilia masomo na matokeo, mwalimu kuhakikisha 1
0.3%
263 Najukumuya mama kila siku anani[a chivizi, baba mzazi kaeleta shule kunidumia 1
0.3%
264 Ni kuhakikisha mahudhurio mazuri shuleni na kuwa na ufaulu mzuri 1
0.3%
265 Ni kutoa mahotaji muhimu kwa watoto na walimu kufundisha kwa juhudi 1
0.3%
266 Ni kuwashauri na kujipa moyo 1
0.3%
267 Ni kwasababu walimu na wazazi wanashirikiana 1
0.3%
268 Soma maana maisha ya mtaani ni mabaya bila elimu, Elimu ni tiketi ya Maisha 1
0.3%
269 Tuahimizwa kusoma kwa bidii 1
0.3%
270 Tunashauri tufauli tunapata matokeo mazuri 1
0.3%
271 Tunashauriwa tukasome kwa bidii na kutueleza kwamba elimu inafaida 1
0.3%
272 Tunashauriwa tuongeze juhudi kwenye masomo 1
0.3%
273 Tunashauriwa tusome kwa bidii 1
0.3%
274 Tunashauriwa tusome kwa bidii na tuwe na heshima 1
0.3%
275 Tunaweza kufaulu kwa kupitia nidhamu , mzazi anapaswa atupe matumizi yote na mwalimu kutufundihsa kwa bidiii 1
0.3%
276 Tusome kwa bidii 1
0.3%
277 Tusome kwa bidii bila kukata tamaa 1
0.3%
278 Ufaulu,Mahudhurio, Michango ya shule 1
0.3%
279 Ufuatiliaji juu ya masomo, kufuatilia maendeleo ya shule 1
0.3%
280 Ufuatiliaji wa maendeleo ya kitaalamu juu ya makosa ya kinidhamupia kuboresha ubora wa ufaulu shuleni 1
0.3%
281 Uhudhuriaji wa mikutano ya shule 1
0.3%
282 Ukasome shule kwa bidii 1
0.3%
283 Umoja wa wazazi, Waalimu wanapaswa kuweka mikakati ambayo itasaidia kuboresha ufaulu na kushirikiana na watoto wao ili kuwasaidia 1
0.3%
284 Unasaidia wanafunzi kufaulu, Taaluma kuongezeka na Kuendeleza maendeleo ya shule 1
0.3%
285 Ushauri 1
0.3%
286 Ushauri kwa wazazi kufuatia ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
287 Ushauri na kununua mahitaji 1
0.3%
288 Ushirikiano kati ya wazazi na walimu, Wazazi kuchangia michango ya shule na Kuhakikisha na mahudhurio ya mwanafunzi 1
0.3%
289 Ushirikiano katii ya walimu na wazazi, kuhakikisha mahudhurio mazuri ya wanafunzi 1
0.3%
290 Ushirikiano na kuwa na umoja 1
0.3%
291 Ushirikiano wa wazazi na waalimu, Wazazi kuchangia michango wa shule, Kufuatilia maendeleo ya ufaulu 1
0.3%
292 Ushirikiano wa wazazi na walimu pamoja na kuhakikisha ufaulu wa wanafunzi 1
0.3%
293 Usiwe mchawi 1
0.3%
294 Usome kwa bidii, Kuwa na ushirikiano na wenzako 1
0.3%
295 Utekelezaji wa kufuatilia maendeleo ya mwanao kwa matokeo 1
0.3%
296 Waalimu waelimishe wazazi 1
0.3%
297 Walimu kufuatilia matokeo yangu, kufundisha , Kufuatilia matokea yangu shuleni, kila siku ananipa pocket money 1
0.3%
298 Wanafunzi wote kuwasili shuleni wakati ikifunguliwa 1
0.3%
299 Wanashirikiana na wazazi wanaakikisha wanalipa ada yote 1
0.3%
300 Wanatakiwa kunifundisha, wanatakiwa kunipa elimu, wanatakiwa kunipa haki yangu, wanatakiwa kunitimizia majukumu yangu 1
0.3%
301 Wanatuhamashisha tusome na pia wanahamasisha jamii kusomesha watoto 1
0.3%
302 Wanatuhimiza kusoma vizuri na kuingia darasani 1
0.3%
303 Wanatusaidia katika ufuatiliaji 1
0.3%
304 Wanatushauri tusome kwa bidii tupitie tulipofundishwa 1
0.3%
305 Watushauri tusome 1
0.3%
306 Wazazi kuchangia michango mbali mbali shuleni , Kuhakikisha wanafunzi wanafaulu vizuri 1
0.3%
307 Wazazi kuchangia michango mbali mbali, Kuhakikisha wanafunzi wanafaulu 1
0.3%
308 Wazazi kuchangia michango ya shule, mahudhurio ya wanafunzi na Ushiriki wa walimu na wazazi 1
0.3%
309 Wazazi kufuatilia matokeo ya wanafunzi 1
0.3%
310 Wazazi kuhakikisha wanafunzi wanapata mahitaji ili kuendelea na masomo na waalimu kutoa mafunzo stahiki 1
0.3%
311 Wazazi kukutana katika kikao, kufuatilia mahudhurio ya wmanafunzi shuleni 1
0.3%
312 Wazazi kulipa ada kwa muda unaostahili 1
0.3%
313 Wazazi kuna watoto wengi, Kunitumia nauli, kunipa kupokea maneno 1
0.3%
314 Wazazi kunipatia mahitaji yote ya msingi, Waalimu kunifundiisha kwa bidii 1
0.3%
315 Wazazi na waalimu wafatilie maendeleo ya mtoto kitaaluma na kinidhamu 1
0.3%
316 Wazazi na waalimu wafuatilie maendeleo ya mtoto kitaaluma na nidhamu 1
0.3%
317 Wazazi wanapokutana na waalimu, Kuboresha elimu kwa wanafunzi 1
0.3%
318 Wazazi/wanangu ukasome kwa bidii maisha ya huku mtaani ni magumu utateseka sana bora elimu kaishike 1
0.3%
319 kuelimisha watoto na kubadilisha tabia aliyokuwa nayo kama ni mbaya 1
0.3%
320 kuendeleza kufundisha kwabidii 2 1
0.3%
321 kufuatilia maendeleo ya taaluma 2
0.6%
322 kufuatilia maendeleo ya taaluma na maendeleo ya mwanafuzni 1
0.3%
323 kufuatilia maendeleo ya taaluma, Wazazi kuchangia michango ya shule na Mahudhurio mazuri ya shule 1
0.3%
324 kuhakikisha mimi mwanafunzi nasoma kwa bidii 1
0.3%
325 kuhakikisha taaluma inaboreshwa, Kutusaifia katika ufaulu wa masomo yetu na kuhakikisha mahudhurio ya wanafunzi ni mazuri 1
0.3%
326 kuhakikisha tunahudhuria vipindi vya darasani na kuwa na nidhamu na kuhakikisha tunahudhuria darasani 1
0.3%
327 kuhamasisha michango kutoka kwa wazazi kwaajili ya kuboresha miundombinu na ufuatiliaji wa taaluma 1
0.3%
328 kushiriki katika vikao vya shule, wanafunzi kufaulu na kwa mzazi kukagua ripoti za mtoto shuleni 1
0.3%
329 kushirikiana nawazazi ili sisi kufanya vizuri kwenye mitihani, walimu kutukazia kusoma kwa bidii sana 1
0.3%
330 kwa kufuatilia katika masomo yao, kwa kuhakikisha lazima wasome 1
0.3%
331 kwa kufuatilia maendeleo ya wanafuzni shuleni na wajibu wake katika elimu 1
0.3%
332 kwa kufuatilia mitihani inayofanyika shuleni 1
0.3%
333 majukumu na umoja wa wazazi na walimu katika kuboresha ubora ni kufuatilia maendeleo ya shule 1
0.3%
334 mwalimu humfundisha mwanafunzi na kuwapa maswali, Mzazi hufuatilia matokeo ya mtoto 1
0.3%
335 ufaulu kuongezeka kwa kiwango kikubwa, maendeleo ya mwanafunzi kuwa mazuri, walimu kuwa kazini 1
0.3%
336 walimu na wazazi wanaposhirikiana 1
0.3%
Sysmiss 8
Warning: these figures indicate the number of cases found in the data file. They cannot be interpreted as summary statistics of the population of interest.
Back to Catalog
RELI Microdata

© RELI Microdata, All Rights Reserved.